University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Wale wazee wa HESLB
IMG_20200930_181133.jpeg
 
Ndugu zangu, kuna mtoto wa dada yangu nimemfanyia application ndoto zake kubwa ni kusoma udaktari hasa hasa anapenda sana MUHAS akilala akiamka ananiuliza mjomba ntapata kweli chuo namuambia asijali, ufaulu wake ni kama ifuatavyo

O LEVEL
Civics..........B
History.......D
Geograph..B
Kiswahili....B+
English.......B+
Physics.......C
Chemistry...C
Biology.......B
Basic Mathematics....C

Amesoma Diploma ya Clinical Medicine amepata GPA ya 4.1/5.0

Na vyuo nilivyomfanyia application mpaka sasa ni vyuo 5, (UDOM (MD), UDSM(MD), MUHAS (MD), KCMC (MD), NA ST FRSNCIS CHA MOROGORO (MD) ),

Naombeni kujua kwa ufaulu huo je anaweza kuchaguliwa kusoma Udaktari kwa mwaka huu wa masomo 2020/21 katika vyuo vya serikali sana sana MUHAS??????

karibuni.
 
Kwa serikali nampa asilimia UDOM.

Kwa private atapata vyote.
 
Kuna Chalii Yangu kaomba

Laws - UDSM, MZUMBE NA UDOM.

Form Six kapata Div Two ya11.

Form four kapata Div Two ya 18.

Je, Kuna matumaini hapo?
 
Back
Top Bottom