Kwa matokeo haya ya HKL anaweza pata University Admission?

C na E zote ni principle pass zenye 4 points, so anaweza kupata chuo kama hakuna ushindani mkubwa kwenye chuo alichoomba.
 
Mwambie aombe chuo cha CBE kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0756936931
 
HAWEZI KUPATA. DEGREE lazima uwe na principal passes 2 yaani D mbili. Hata angekua na A moja na zingine E hawezi pata.
 
Habari!

Poleni na majukumu ya kila siku. Nina ndugu yangu amemaliza form 6 mwaka huu kama private candidate na amepata C ya historia, E ya kiswahili na E ya kiingereza.

Je, kwa matokeo haya anaweza pata university admission?

Maoni yenu tafadhali.
Aombe chuo kozi yoyote ile anapata, hata UDSM
 
Screenshot_20220706-092756.png
 
Hauko serious wee khaaaah.
Niko serious kuliko unavyo waza, kama chuo ni majengo tu hapo sina neno ila nimekwambia TEKU imekuwa ikizalisha walimu wazuri sana kuliko UDSM haswa kwa miaka ya nyuma labda nisijue leo na hili jambo siliongei kwa mihemko bali kwa kufuatilia nikiwa na sababu maalumu zilizo nisukuma kufuatilia jambo hili.
 
Back
Top Bottom