University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Kwa vyuo vya private ni uhakika atapata Lakini kwa vyuo vya serikali huwa kuna ushindani sana hasa hasa kwa upande wa MD
Ndugu zangu, kuna mtoto wa dada yangu nimemfanyia application ndoto zake kubwa ni kusoma udaktari hasa hasa anapenda sana MUHAS akilala akiamka ananiuliza mjomba ntapata kweli chuo namuambia asijali, ufaulu wake ni kama ifuatavyo

O LEVEL
Civics..........B
History.......D
Geograph..B
Kiswahili....B+
English.......B+
Physics.......C
Chemistry...C
Biology.......B
Basic Mathematics....C

Amesoma Diploma ya Clinical Medicine amepata GPA ya 4.1/5.0

Na vyuo nilivyomfanyia application mpaka sasa ni vyuo 5, (UDOM (MD), UDSM(MD), MUHAS (MD), KCMC (MD), NA ST FRSNCIS CHA MOROGORO (MD) ),

Naombeni kujua kwa ufaulu huo je anaweza kuchaguliwa kusoma Udaktari kwa mwaka huu wa masomo 2020/21 katika vyuo vya serikali sana sana MUHAS??????

karibuni.
 
nimeingia kwenye account yangu nimekuta ipo ivyo hakuna sehemu ya kurekebisha je hapo naweza sema nimefanikiwa kufanya application vizuri na sasa naweza kusubili tu kupatiwa mkopo au watatoa majina ya watu tuliokosea kufanya application ?????
 

Attachments

  • jamiifurum.PNG
    jamiifurum.PNG
    34.9 KB · Views: 3
nimeingia kwenye account yangu nimekuta ipo ivyo hakuna sehemu ya kurekebisha je hapo naweza sema nimefanikiwa kufanya application vizuri na sasa naweza kusubili tu kupatiwa mkopo au watatoa majina ya watu tuliokosea kufanya application ?????
Subiri kupata mkopo hapo.
 
Write your reply...jaman kuna dogo kamaliza diploma ya co na GPA ya 4.1 anataka M.D. iv vyuo vya serikali atapata kweli maana o level ana 1 ya 17 mwaka 2009 na phys ana B chem A bios B
 
Back
Top Bottom