University Admission Results 2020

Noambeni kuuliza swali jingine, mfano mtu akachaguliwa muhas course ya pharmacy, je akifika pale chuoni si anaweza kuamia COURSE nyingine mfano MD si inawezekana lakini????
Not muhas bro it was not by mistake that got pharmacy
 
O LEVEL
Civics..........B
History.......D
Geograph..B
Kiswahili....B+
English.......B+
Physics.......C
Chemistry...C
Biology.......B
Basic Mathematics....C

Amesoma Diploma ya Clinical Medicine amepata GPA ya 4.1/5.0

Na vyuo nilivyomfanyia application mpaka sasa ni vyuo 5, (UDOM (MD), UDSM(MD), MUHAS (MD), KCMC (MD), NA ST FRSNCIS CHA MOROGORO (MD) ),

mpaka sasaivi ndugu yangu uyu hajapata chuo chochote kile, naombeni msaada wenu kwenye second round nitumie njia gani apate chuo, maana tangu jana ameshinda ndani analia tuu msaaada wenu tafadhali
Dah yan kama huyu mwamba mwenye tokeo hili af kakosa vyuo vyote basi huko vyuoni safari hii kazi tunayo!!!
 
O LEVEL
Civics..........B
History.......D
Geograph..B
Kiswahili....B+
English.......B+
Physics.......C
Chemistry...C
Biology.......B
Basic Mathematics....C

Amesoma Diploma ya Clinical Medicine amepata GPA ya 4.1/5.0

Na vyuo nilivyomfanyia application mpaka sasa ni vyuo 5, (UDOM (MD), UDSM(MD), MUHAS (MD), KCMC (MD), NA ST FRSNCIS CHA MOROGORO (MD) ),

mpaka sasaivi ndugu yangu uyu hajapata chuo chochote kile, naombeni msaada wenu kwenye second round nitumie njia gani apate chuo, maana tangu jana ameshinda ndani analia tuu msaaada wenu tafadhali
Duuh! Selection status za vyuo vyote hivo alivyoomba zimenuna hazina ushirikiano ni shida sana asee ajaribu Round ya pili atapata.
 
Ulisahau kumuombea CUHAS Bugando hapa angepata chap tu kwa hilo tokeo aombe round ya pili na CUHAS iwemo kwenye maombi yake atatoboa .
 
O LEVEL
Civics..........B
History.......D
Geograph..B
Kiswahili....B+
English.......B+
Physics.......C
Chemistry...C
Biology.......B
Basic Mathematics....C

Amesoma Diploma ya Clinical Medicine amepata GPA ya 4.1/5.0

Na vyuo nilivyomfanyia application mpaka sasa ni vyuo 5, (UDOM (MD), UDSM(MD), MUHAS (MD), KCMC (MD), NA ST FRSNCIS CHA MOROGORO (MD) ),

mpaka sasaivi ndugu yangu uyu hajapata chuo chochote kile, naombeni msaada wenu kwenye second round nitumie njia gani apate chuo, maana tangu jana ameshinda ndani analia tuu msaaada wenu tafadhali
Ngoja nikuambie kitu,,Mwombe nursing au coz yoyote ile ya afya iliyo na comp' ndogo halafu dogo lko huyo kama akichaguliwa coz hiyo Afike haraka chuoni abadilishe asome hiyo MD anayoitaka,,La sivyo mwombee tu atachaguliwa usiwe na wasiwasi
 
Shida sio olevel, maana wengine wameanza certificate,then diploma na qualifications ni kuanzia GPA ya tatu. So hyo ya olevel doesn't make sense
shida ni o-level kwa raia wengi walio kosa kwa 7bu ata vigezo wanasisitiz vigezo o level
 
Sidhani ka vigezo mtu Hadi kufika diploma alifata vigezo vyote vya serikali I think bachelor priority ni wa form six
 
Sio Kweli dada kusema kuwa Priority ni wa Form 6 nakataa, kuna admission capacity za vyuo uwe unazicheki.

ushindani upo ila sio kihivyo kwa maelezo yako hapo juu kama ni kweli ana GPA ya kutosha na O Level Tokeo Lake lipo Fresh Si rahisi kukosa Chuo ukizingatia First Round Diploma wengi wa mwaka huu walichelewa kuapply kutokana na matokeo Yao kuchelewa.

Nimemaliza diploma na Nimechaguliwa Ardhi University...Nilichagua Chuo kimoja na Course Moja Tu na Nimepata.

Tatizo kubwa la diploma wengi wanachanganya course tofauti na ya diploma aliyomaliza.
 
Exactly
 
Kuna mtu yyt aliyechaguliwa Udom kapata admission letter..Maana wametuma message kwamba admission letter ipo kwenye profile lakini ukiingia kwenye profile huoni chochote kabisa.
 
Hello great thinkers.

Kuna dogo aliapply IFM, amepata ila ni Mwanza campus, naomba kwa anayefahamu hiyo IFM Mwanza iko poa?

Pia nataka kufahamu ikiwa mtu anataka kuapply 2nd round wakati alikua ameshapata round 1 procedure zake inakuaje?(course aliyochaguliwa hajaipenda sana)
 
Sio Kweli dada kusema kuwa Priority ni wa Form 6 nakataa, kuna admission capacity za vyuo uwe unazicheki.

ushindani upo ila sio kihivyo kwa maelezo yako hapo juu kama ni kweli ana GPA ya kutosha na O Level Tokeo Lake lipo Fresh Si rahisi kukosa Chuo ukizingatia First Round Diploma wengi wa mwaka huu walichelewa kuapply kutokana na matokeo Yao kuchelewa.

Nimemaliza diploma na Nimechaguliwa Ardhi University...Nilichagua Chuo kimoja na Course Moja Tu na Nimepata.

Tatizo kubwa la diploma wengi wanachanganya course tofauti na ya diploma aliyomaliza.
Kubadili field degree inaruhusiwa tu mbona ni kawaida but diploma wanaochaguliwa ni very few compared to advance maana nikipitia vyuo vingi 90% advance
 
Kumbe wengi wa JF humu kwenye huu uzi ni form6 leavers

Mkipata vyuo msisahau kilichowapeleka huko mkaanza kudisco
 
Back
Top Bottom