Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
Hakikailaaa n kwel kwann waweke cku baada ya uchaguziii.....ova thinkng inahtajika aapa...afu na vile wanavosistza et hakuna atakae kosa chuoo sidhan ngja tuonee....ila na beti baada ya uchaguzi tutaona madudu mengiiii aseee
St.Fransis wameshalamba 20k yangu bure bure bora ningeenda kununulia malaya
hatar sanaadaah nimecheka sana, saa hz ungekuwa mwepesi tena unatafuta yule mwenye tako kubwa
serikali ina hela tena nyingii tyuu...sema unaongelea hela za kufanyia shuguli gan hapoo ndo tatzoooKinachotugharimu watanzania ni hizi siasa ukizingatia mambo mengi ni siasa angalia ajira za walimu kimya nakuhakikishia baada uchaguzi sidhani kama kutakuwa na jipya watu watakosa chuo wengi serikali haina hela
Watu wengi wana qualification za kusoma degree awe form six au diplom sidhani kwa karne hii kuna mtu anaweza kuomba chuo kama hana qualification hilo hakuna issue inakuja kama wakipata chuo wanafunzi wengi bodi ya mkopo itaelemewa sana kuhofia lawama inabidi watu wengi wasipate chuo hata kama wana vigezo ndio tunapoelekea kwa sasa hiviserikali ina hela tena nyingii tyuu...sema unaongelea hela za kufanyia shuguli gan hapoo ndo tatzooo
may be ilaa ngoja tusubr takwim za uongo na kweliiWatu wengi wana qualification za kusoma degree awe form six au diplom sidhani kwa karne hii kuna mtu anaweza kuomba chuo kama hana qualification hilo hakuna issue inakuja kama wakipata chuo wanafunzi wengi bodi ya mkopo itaelemewa sana kuhofia lawama inabidi watu wengi wasipate chuo hata kama wana vigezo ndio tunapoelekea kwa sasa hivi
Yaan sasa hivi itakuwa kupata chuo kazi sana tarehe 29 sio mbali subiri uonemay be ilaa ngoja tusubr takwim za uongo na kwelii
Yani kukosa chuo inauma sana!daah nimecheka sana, saa hz ungekuwa mwepesi tena unatafuta yule mwenye tako kubwa
Nao nawasikilizia bora wasile 50k yangu bure bureSasa kcmc wanalamba elfu 50. Sijui mamlaka zinakwama wapii haya majitu yanawaibia watanzania
Tena ninge-enjoy maisha maana imeliwa kimasihara.kudadeki tena hiyo unalala nae.
Ngoja wajeWakuu habari zenu...
Hivi Kuna priority yoyote ambayo vyuo huwa inatoa katika mchakato wa kuchagua wanafunzi waliokosa Katika first round??
Let's say Kuna mtu aliomba katika first chuo flan lakin hakupata hivyo anasubiri awamu ya pili.... Thn mwanafunzi mwingine ambaye hakuomba first round akaomba katika second round na anavigezo sawa na yule aliyeomba first round,
Je katika mchakato wa kuchagua wanafunzi hawa wote wawili watakuwa na the same priority au Chuo Kitamconsider yule aliyeomba katika awamu ya Kwanza?
The same priorityWakuu habari zenu...

kesho ndio kesho pwaaah