University Admission Results 2020

Kinachotugharimu watanzania ni hizi siasa ukizingatia mambo mengi ni siasa angalia ajira za walimu kimya nakuhakikishia baada uchaguzi sidhani kama kutakuwa na jipya watu watakosa chuo wengi serikali haina hela
 
Nina hakika katika awamu ya pili kwa wale walioomba vyuo vidogo ( Visivyo na majina makubwa) watapata.

★Awamu ya Kwanza vyuo vingi sanaaa vimechukua wanafunzi na wengi wao Ni multiple selected. Mfano Kuna chuo kimoja nilikuwa naangalia capacity yake kwa bachelor Ni wanafunzi 300,
Katika awamu ya Kwanza Kimepokea multiple selected student Zaid ya 150 hivyo baada ya kufanya confirmation Nafasi nyingi Sana zitabaki, na ndiomana vyuo vimeomba viongezewe muda ili vifanye upembuzi yakinifu Maana vingi vina multiple selected student..

Wale watakaokuwa wamechagua vyuo vya kawaida itakuwa advantage kubwa kwao
 
serikali ina hela tena nyingii tyuu...sema unaongelea hela za kufanyia shuguli gan hapoo ndo tatzooo
Watu wengi wana qualification za kusoma degree awe form six au diplom sidhani kwa karne hii kuna mtu anaweza kuomba chuo kama hana qualification hilo hakuna issue inakuja kama wakipata chuo wanafunzi wengi bodi ya mkopo itaelemewa sana kuhofia lawama inabidi watu wengi wasipate chuo hata kama wana vigezo ndio tunapoelekea kwa sasa hivi
 
may be ilaa ngoja tusubr takwim za uongo na kwelii
 
Wakuu habari zenu...

Hivi Kuna priority yoyote ambayo vyuo huwa inatoa katika mchakato wa kuchagua wanafunzi waliokosa Katika first round??

Let's say Kuna mtu aliomba katika first chuo flan lakin hakupata hivyo anasubiri awamu ya pili.... Thn mwanafunzi mwingine ambaye hakuomba first round akaomba katika second round na anavigezo sawa na yule aliyeomba first round,
Je katika mchakato wa kuchagua wanafunzi hawa wote wawili watakuwa na the same priority au Chuo Kitamconsider yule aliyeomba katika awamu ya Kwanza?
 
Ngoja waje
 
The same priority
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom