robbinhood
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 538
- 1,532
Umepata wewKUNA NEW YOYOTE HUMU WAKUU...?
Sijaingia kwenye chuo chochote kucheck selection, kwani kuna baadhi ya vyuo washatema kiongozi..?Umepata wew
Wakuu tunarushana roho viongzi vimetema kwel mana vyuo vinne mtu unakosa vyoteWakuu kuna vyuo vingine vilivyotema?
Relax broWakuu hii imekaje kwenye account yangu ya sua nimeandikiwa maneno haya "kindly note that you will be considered in second round"
Wakuu hii imekaje kwenye account yangu ya sua nimeandikiwa maneno haya "kindly note that you
Kuna zile sms za UDOM za kuencourage uombe Round 2 zilikuwa na maana gani.Wakuu hii imekaje kwenye account yangu ya sua nimeandikiwa maneno haya "kindly note that you will be considered in second round"
Ndo ushakosa hapo!!Wakuu hii imekaje kwenye account yangu ya sua nimeandikiwa maneno haya "kindly note that you will be considered in second round"
Ushakosa babu subiria third selection hapo Kama zitakuwepo!!Kuna zile sms za UDOM za kuencourage uombe Round 2 zilikuwa na maana gani.
Tayari babu!!MLIOCHUNGULIA ACCOUNTS ZA SUA HUKO,, MAMBO YAMESHAANZA KUNOGA..?
Weka screenshot kijanaTayari babu!!
Hizi zilitumwa kabla ya Round 2 kuanza kwa sasa sijatumiwa nasubiri kama kuna nyingine itatumwaUshakosa babu subiria third selection hapo Kama zitakuwepo!!
Nawajambisha bwana me nshapata zangu first selection nimekunja nne tu nawachora mnaosubiria secondWeka screenshot kijana
Utaua watu kwa presha ujueNawajambisha bwana me nshapata zangu first selection nimekunja nne tu nawachora mnaosubiria second
Daaah, haya bhnaNawajambisha bwana me nshapata zangu first selection nimekunja nne tu nawachora mnaosubiria second