United State of America to Become Failed State ?

United State of America to Become Failed State ?

[emoji1]
 
Attachments

  • 1476470805555.jpg
    1476470805555.jpg
    25.9 KB · Views: 44
Kama sio saud arabia kutumiwa na marekani kushusha bei ya mafuta mwishoni mwa miaka ya 80 soviet union haingeanguka,
urusi ilijikute mapato yamepungua wakati ina mzigo mkubwa wa kubeba ikabidi ivunjike,hata kutoka afaghnstan sio kuwa walishindwa kwa vita bali pesa ilikauka,solution ikawa ni kurudisha majeshi nyumbani,
putin aliirudisha juu Russia,lakini tena mmarekani wakazoza na hawa waarabu wa saud ili wapunguze tena bei ya mafuta,lakini sasa russia alikuwa pia anauza gesi huko ulaya,sasa ili wamarekani waibinye vizuri russia,walipanga na wasaudia lijengwe bomba la gesi toka qatar likipita syria mpaka ulaya ili wazungu wa ulaya waache kununua gesi ya mrusi ili tena waiporomoshe russia,
assad akiwa na uhusiano mzuri na russia aligoma kukubali bomba lipite syria kwahiyo ilibidi assad apigwe vita atoke,ndo kisa cha mrussia kukomaa pale syria.

Uchumi wa marekani hauko kamili sana hasa baada ya kupiganisha vita ambavyo vimeicost matrilion ya dola na nchi kujikuta na deni lisiloweza kulipika,lakini kinachoibeba marekani ni mfumo wa petroldollar,
asilimia kubwa ya viwanda vyake vilihamia china,vietnam,bangladeshi kwasababu gharama za kuendesha kiwanda marekani zilikuwa juu,kiasi wenye viwanda wakawa hawapati faida,
siku nchi kama saud ikiiamua kuuza mafuta kwa pesa yeyote tofauti na dollar ndo siku dollar ya marekani itaanguka,na hilo marekani hawatakubali na ndo maana kuna kambi za jeshi huko saudi arabia,qatar,bahran na pia kuwait.
Siku wanahama kutumia dollar ndo siku marekani atawageuka na kuwapindua na kisha kuweka kibaraka wao.
Suala la uchumi kwa wamarekani ni national security issue na wako tayari kwenda vitani kulinda nafasi yao kama superpower ndo maana hawaishi kuzifanyia chokochoko nchi kama Russia,china,brazil etc
US ana mafuta kuliko nchi yeyote duniani so sijui unaongea nini? Then improvement of technology imefanya magari kwenda zaidi ya Mara tatu with the same amount of oil and emergency of electric car nayo ndio itafanya oil kwenda chini zaidi, hizo traditional business za oil and manufacturing zote zinarudi US kutokana Na new technology ambayo imefanya production cheaper than foreign labor.. Ni swala la muda tuu oil will be obsolete
 
yeah US wana mafuta mengi sana japo pia matumizi yao yako juu na bado wanaimport toka nchi kama venezuela,ishu hapa sio marekani kutaka mafuta ya waarabu,ni kwamba anataka mafuta yauzwe kwa dollar ili dollar iwe na demand kubwa kiasi kwamba wao wanakuwa free kuprint pesa kibao kwa ajili ya matumizi yao makubwa bila kuathiri uchumi wao kwani dollar inazunguka dunia nzima kwahiyo vile waprint dollar bado thaman yake inabaki juu.
Sasa tatizo wanaoprint dola ni federal reserve,na wanapoipa serikali dola wao wanakuwa bado wanaidai serikali,ndo kisa cha deni la marekani kuwa juu sana,trilion 15 usd.

We hushangai marekani anatoa wapi mapesa ya kufinince vita vyote vile
 
US hamlazimishi mtu kutumia US$$ theres a reason for that sasa go educate yourself/google it utaelewa,na ingekuwa rahisi kiasi hicho basi hata Chinese or Russians wange print pesa to finace wars or whatever they want lakini hayo mataifa ndio ya kwanza kupanga foleni New York/Washington kununua US treasury na reserve zao zote ziko in USD why?
 
Ndugu zangu ninavyoona mimi very soon United States ofAmerica itakuwa failed state na majimbo yote ya USA kutawanyika kama ilivyotawanyika majimbo ya USSR kwa sababu zifuatavyo:
1. Kushindwa kupata mrithi wa Rais Barrack Obamo. Wagombea wote wa urais wa Marekani Donald Trumph Na Hilary Clinton hawa wote hawakidhi kiwango cha Rais anayetakiwa Marekani na kuna dalili katika uchaguzi huu kuna uchakachuaji wa matokeo kufanyika.
2. Kuongezeka kwa masuala ya ubaguzi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kufanyika kwa mauaji ya watu wenye asili ya watu weusi.
3. Kuhusika na kupanga njama za ugaidi wa 9/11 uliotokea miaka kumi na tano zilizopita, baada ya watafiti na wataalam kuchunguza kwa makini waliona ugaidi huo haukufanywa na vijana kumi na tisa wa kiarabu bali It was inside job ilitekelezwa na majasusi wa kimarekani kwa idhini ya Serikali yao ili kuipa sababu ya Marekani kuvamia Afghanistan Iraq Libya Syria. Kwa kumalizia ni kwamba nguvu ya kiuchumi ya Marekani imekufa. Kilichobaki ni kuprint Dola very soon hiyo Dola ya kimarekani haitaweza kutumika tena.
Ndoto yangu imetimia kwa utawala wa Donald Trump America will be failed state.
 
Back
Top Bottom