Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Wee kilaza,china urafiki wake ba tanzania upo wapi zaidi ya kuja kupiga dili na kujaza mimba mama ntilie tuu
utakua ni mtoto wa miaka ya 95 ww.....
tuulize sisi tuliosoma na kina mwenyekiti mao tukuhadithie,,,,hawa mbulula wa kizungu hatutawasikiliza hata siku moya....
china ishasema atakaeigusa tanzania atakiona cha mtema kuni....
ila kama maalimu kashinda apewe nchi,,,ama hata wakirudia kama ni wa kushinda atashinda tu,,,,yeye asipaniki wasije kuanza kumloweka kizuizini na habari ya kugombea tena ikaishia hapo.....