United Kingdom statement on Zanzibar elections

United Kingdom statement on Zanzibar elections

Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Mngetaka tuwe huru kuepusha hizi statement mngekuwa mnaheshimu maamuzi ya watu na kuacha demokrasia itamalake!
 
Now, this is way too embarrassing to the ruling Government.!!
They need to check the next strategy here. They acted very childish through "ZEC". Shame on you!!
 
hata mi ndo nashangaa. Nkurunzinza je? mbona wamemwacha yuko madarakani na wananchi walimkataa? Museven kang'ang'ania madaraka miaka 30 sasa haaasemi kitu? akina besgye kila siku wanakamatwa kwenye kampeni wanawekwa ndani na serikali ya museven bila makosa uonevu mtupu mbona wasiseme kitu?

Ninyi mmewaomba sana miaka 10 hii kuliko Kagame na Mu7.
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
Mheshimiwa wao ni wafadhili wetu wa karibia kila kitu. Sehemu kubwa ya pesa za uchaguzi wanatoa wao. Haiwezekani wewe unampa mtu pesa yako kwa shughuli fulani halafu akazifuja halafu unyamaze. Vile vile kumbuka kama kukitoa vurugu zozote zitaawaathiri na wao kwani watalazimika kuanza kuhudumia wakimbizi na vikao vya upatanishi. Kuhusu sisi kutotoa statement juu ya chaguzi zao ni kuwa sisi ni wategemezi hatuna uwezo wa kwenda kusimamia chaguzi zao na pia hatuna kauli yoyote juu ya mambo yao kutokana na sisi kuwategema wao kiuchumi. Kumbuka bajeti ya Tanzania bila misaada ya wao haiwezi kusimama. Lakini wao bajeti yao inasimama hata bila kutegemea Tanzania. Umasikini ni utumwa mkuu! Ukishakuwa masikini ujue huna pia maamuzi juu ya maisha yako. Ukitaka kuyajua haya hegu angalia bajeti za Zanzibar na ya Muungano uone mchanganuo wa mapato na vyanzo vyake yake. Ndio maana Malawi au Msumbiji haziwezi kutoa statement kuhusu uchaguzi wa Tanzania kwakuwa hizo nazo ni kama sisi
 
FOOL WEWE!!! WAKATI VIONgOZI WAKO WANATEMBEA DUNIA NZIMA KWENDA KUOMBA MISAADA WAKWENDA WAPI? JUPITER AU?

KILA MRADI UNASIKIA NI KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI, CHINA, JAPAN, DENMARK ETC...

ACHENI UNAFIKI VIJANA!!!

BAJETI YA SERIKALI 22TRILION, 40% NI WAHISANI UNATEgEMEA HAWANA SAY?

Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...
 
kikwete na kundi lako mnajidanganya,mabwana zenu wameshatoa tamko mmekamatwa kila kona naona mnatafuta kutuletea matatizo yasiyo ya muhimu
bajeti yenyewe mnawategemea hao bwana zenu leo mnajifanya kudinda?

source DW na BBC
 
Jinga wewe.
Magufuli ndiye rais wetu.
Hutaki hama nchi.
 
Ninavyoiona CCM ni sawa na zile methali
1.Za mwizi ni siku arobaini
2.Ndege mjanja hunaswa ktk tundu mbovu
Na nakubaliana na Wamakonde kuwa "CHICHIEM ukichimama nchale,ukikaa nchale na ukimung`unywa nchale..
Mmewadhulumu wananchi ktk Rasimu ya Warioba na sasa mnaumbuka kwa katiba hiyo yenu..hili swala la Zanzibar lingejibiwa kirahisi kwa Rasimu pendekezwa ya Warioba
Mmelikoroga na lazima mtalinywa safari hii
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Weweeeee....acha hiyo...unasahau jamaa alivyokuwa anazipiga trip za huko kila siku.kabla ya kuvuka barabara angalia kulia..kushoto halafu kulia.kama salama then cross the road.
 
The United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland is deeply concerned by the announcement of the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission to nullify the elections. We note that all the international observers were impressed by the quality of the electoral process they witnessed. We call on ZEC to resume the results tabulation process without delay.

We congratulate the people of United Republic of Tanzania on the peaceful and enthusiastic way in which they participated in their elections. We call on all political actors to seek a solution which respects the will of the Zanzibari people as expressed in the polls on 25 October.

The United Republic of Tanzania has a well deserved reputation for peace and stability and respecting democratic principles. We urge all Zanzibaris to maintain peace and we commend the restraint they have shown so far.

Source: https://www.gov.uk/government/world-location-news/uk-statement-on-zanzibar-elections
 
Tutasikia mengi mwaka huu
 
DSC03905_thumb%25255B3%25255D.jpg

Safi sana mkuu lkn mtu yoyote aliyeko CCM akili zake hazina tofauti na senene ambaye huficha kichwa tu huku gumbo na utupu ukiwa nje hadharani.
 
Kwa sababu wanajua waafrika hawana uwezo wa kutatua matatizo yao yawe ya kisiasa kiuchumi zaidi ni ubinafsi tu ndio umetujaa, hujui kwamba hata kuanzishwe kwa demokrasia lilikuwa shinikizo lao japo hatukuelezwa darasani maana waliamimini matatizo ya africa yanasababishwa na uongozi mbovu, kwa hiyo kufuta uchaguzi wa zanzibar wanatafsiri kama kudhoofisha demokrasia na malengo yake
 
Kina sisi ambao tunamjua Kikwete hapo keshaliharibu anasikilizia vipi jamaa watakomalia???au watalegeza uzi???sijawahi ona mtu mnafiki kama huyu mdomoni anapenda democracy vitendo vyake anazika democracy jua tu wazungu wanakuandalia "travel ban"safari zako mwisho msata na bagamoyo....ulaya na marekani soon utasikia kwenye radio na tv.
 
Back
Top Bottom