Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?
Mambo vp wakuu?naomba kuuliza,mwenye kujua hawa wadada wanandugu wanao unda hili kundi lililopata kuwika mwanzon mwa miaka ya 2000 wako wapi na wanafanya nin anijuze?
Kuna mmoja alikua close sana na eddy wa itv sijui kaolewa na huyo jamaa au vp? Kama hamumjui ebu google "Unique Sisters-zaidi yako" yupo nae amemkumbatia kwa nyuma anacheza nae,mie nampenda yule mweupe kidogo mwenye kithethe(Radhia)!