Ungeuaje soo hili!

Ungeuaje soo hili!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Umefika zako dukani,unataka kununua condom za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama watoto wako.Hii sentensi yako uliyokwisha ianzisha utaimalizia vipi ili kuepusha shari na amani iendelee kutamalaki ndani ya nyumba?
 
Imekula kwako,,,mwanamme wa kweli ni yule anayekubali consequence of his action
 
Umefika zako dukani,unataka kununua condom za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama watoto wako.Hii sentensi yako uliyokwisha ianzisha utaimalizia vipi ili kuepusha shari na amani iendelee kutamalaki ndani ya nyumba?
cocacola
 
Umefika zako dukani,unataka
kununua condom za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji
naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama
watoto wako.Hii sentensi yako uliyokwisha ianzisha utaimalizia vipi ili
kuepusha shari na amani iendelee kutamalaki ndani ya nyumba?

Co...Kofia!
 
kopo la NIDO tena lile kubwa kabisa....nataka nikanywe chai na mama watoto wangu...
 
Co...commercial break kidogo...# huku ukitabasamu..
 
Co... cocoa ile yenye maziwa, tena bahati nzuri na wife kaja mpatie turudi zetu home! au siyo honey wangu?

Hapo unasema hivyo kumbe umesahau uliwah kumwambia hupendi kabisa ladha ya cocoa..maana zinakuchefua..kudadadeeeki..
 
da wanawake mungu wao alikuwa mitamdanganya kwa kusema mamaaa nilivyokuona nyuma yang nikaamuj nikutanie nilijua tu utakasirika .
 
Co..co...co..zile za wadada wanazo vaa harusin jaman.

Near by Tukuyu sec. Mbeya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom