Ungeuaje soo hili!

Kuna watu wako closer kwa Ku close isee nimewakubali hahahahahaha.

Sent by chescomatunda using JamiiForums
 
Umefika zako dukani,unataka kununua condom za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama watoto wako.Hii sentensi yako uliyokwisha ianzisha utaimalizia vipi ili kuepusha shari na amani iendelee kutamalaki ndani ya nyumba?
uaminifu sio kuto kucheat ni kuhakikisha mwenzio hahisi, hajui, na hatojua kabisa.
 
Kondoo dukani!!

Haaaa! Wee kijembee ungeshtukiwa na mkeo. Kondoo kauzwa lini dukani? Na muuzaji angekushangaa mwisho wa ck mkeo angeuliza kuna nini hapa? Mwenye duka angemwambia unataka kuuziwa kondoo humu dukani!
 
ko ko kongoro,oh samahani naomba kongosho,oh namaanisha kokakola baridi kwa ajili ya mke wangu aiseh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom