Ungeuaje soo hili!

Ungeuaje soo hili!

CONDOM.....! Kwa nn udanganye zambi hzo wife mwenyewe ataona unajilinda japokuwa unamsalit
 
Uzazi wa mpango tunaambiwa tutumie Condom, hakuna shida hapo, unamwelekeza tu mama halafu unaibuka nazo home!
 
Ningemwambia nipe cofta maana kifua kinanisumbua,hapo ningeua so za kwenda kuchakachulia kwingineko,ile unasema "muuzaji naomba unipatie co....",unageuka nyuma unakutana uso kwa macho na mama watoto wako.Hii sentensi yako uliyokwisha ianzisha utaimalizia vipi ili kuepusha shari na amani iendelee kutamalaki ndani ya nyumba?[/QUOTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom