Ungetamani nani asife?

Mie natamani lile limtu lingekufa ila ndio mijitu ya vile hata haifagi mapema[emoji57]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sasa usilalamîke mtoto utamjibu nini.atapata baba mwengine mwenye mapenzi ya dhati otherwise uamue kuwa single mother.by the way pole sana
Huyo atakuwa ni baba wa kufikia...
 
Nnaotamani wafe ni wengi aisee
Na wapo ntawavuruga sana
 
Kufa ni lazima ila mtu asife kwa kusukumwa, kwa mapenzi ya Mungu ni Poa. Maisha ni kupishana
 
First Christmas, first boxing day without my ever loved MOM [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]... May her beautiful soul rest in peace
 
My mom jamani bora ange kuwepo leo hii , lakini kazi ya mungu haina makosa [emoji24] [emoji24] my tears never end on her
 
My mom jamani bora ange kuwepo leo hii , lakini kazi ya mungu haina makosa [emoji24] [emoji24] my tears never end on her
God knows better....! [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25]
 
Natamani wana JF wote tumalize mwaka salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…