asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,040
Nikipata mzuri, msafi, smart upstairs , mwaminifu na anayenitii baasi inatosha hata km hanipendi. Kwani nitamcharaza mbupu mpaka aone hamna dunia bila mimi na kwa hapo tutakuwa tumewezana.so hatutakiwi kupenda bali kutii
alafu wewe ngojaNikipata mzuri, msafi, smart upstairs , mwaminifu na anayenitii baasi inatosha hata km hanipendi. Kwani nitamcharaza mbupu mpaka aone hamna dunia bila mimi na kwa hapo tutakuwa tumewezana.
mtoto anapozaliwa kilema anakua kapenda?Tunachojisahau ni kwamba....vitu vingi vinavyokuja maishani mwetu ni vile tunavyovivuta kutokana na matendo yetu na aina yetu ya maisha.....kwa kawaida changudoa hawezi kuolewa na mcha mungu kwa kuwa mazingira na aina ya maisha yanawaweka mbali.....ndivyo hivyo hivyo kwa watu wengine....
Kwa kifupi yale yote tunayoyapata kwenyw maisha yetu ndio tunayostahili kuyapata kulingana na maisha yetu na mazingira yetu....
Hahahahahahaalafu wewe ngoja
unajisifu sana sijui tupange gemu hofu yangu utatoroka kama el chapo
Hahahahahaha
Don't go around fire and expect not to sweat.
Hahahaha upo na uhakika?nahofia utatoroka kupitia bomba kama elchapo
alafu wewe ngoja
unajisifu sana sijui tupange gemu😂😂😂😂😂 hofu
yangu utatoroka kama el chapo
Wote humu mmechagua anayewapenda , ila kwenye uhalisia huwa mnawakimbilia wale mnaowapenda huku mkiwalilia na kamasi kuwatoka.
Tungefanya hayo mnayoyasema mbona vilio vya mapenzi vingepungua sana.
ndio ila twende sehemu ambayo hamna bomba habah usije uka el chapoHahahaha upo na uhakika?
bora anaenipenda ukipenda unakua mtumwa bt huyo anaenipenda akidhi terms and condition
Kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini??
anaekupenda au unaempenda
ni shda?Hili swali ni la ki-technique zaidi na pia linahusisha chain ndefu saana.
Maana Mimi ntampenda mwingine, pia nyuma yangu kuna mtu anaenipenda, na nimpendae Mimi, kuna mtu anampenda!
******Very Technique Question*****!!