Imagine ungekuwa na uwezo wa kugundua kuwa mwezi ujao mpenzi wako unaempenda kwa dhati atakuacha na atakutangaza hadhari kuwa kakupiga cha mbavu. Hapo the smartest move ni wewe kumuacha mapema kabla hajachukua point zote 3 muhimu ili kulinda ego yako. Na ikiwezekana muonyeshe na mtantangaze mpenzi wake mpya hadharani mapema kabisa.
Anyway sijui nataka kusema nini, ila sio kuhusu mahusiano.
Anyway sijui nataka kusema nini, ila sio kuhusu mahusiano.