masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,466
- 19,695
- Thread starter
-
- #61
umejibu vyema sana.thanxIKITOKEA WATU WAWILI WANAOPENDANA KIASILI WAKAJARIBU KUISHI PAMOJA,HAWATAMALIZA SIKU WATAGOMBANA........
back kwa topic,,km ni mwanaume heri uchague unaempenda kwasabb wanawake wameumbwa/wanaweza kufundishwa kupenda!!
km ni mwanamke sharti uende unapopendwa,kwasabb ni ngumu kumshawish men akupende!!
btw kazi ya mwanamke kutii na ya mwanaume kupenda masai dada
duh asee hao hua nawapotezea tu japo atakugandaaa ukiwaza unaona dah ngoja nimzingue aende kuna mmoja nilmdanganya mpo12 na ww ni wa 11 akaishiwa nguvu akaniacha kiulaini tu.
Tunayependana
Unampataje mnaependana,,unampenda na unakua na uhakika 100% kwamba anakupenda dada Atoto?
Actions speaks louder than words.
Ila utahitaji mda kumsoma,,na wakati unamsoma unaweza usimpe nafasi anayohitaji na labda na yeye akaona action zako hazimpendezi pia.
anayenipenda maana yale maloveee yake najikuta nampenda
so hatutakiwi kupenda bali kutiiNina mtazamo tofauti...mwanamke atamtii mwanaume na mwanaume atampenda mwanamke
Kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini??
anaekupenda au unaempenda
sana yaan vilio vingeishaWote humu mmechagua anayewapenda , ila kwenye uhalisia huwa mnawakimbilia wale mnaowapenda huku mkiwalilia na kamasi kuwatoka.
Tungefanya hayo mnayoyasema mbona vilio vya mapenzi vingepungua sana.
so hatutakiwi kupenda bali kutii
okey mkuuNdio masai dada,ni misingi iliyowekwa na MUNGU na ndiyo iliyowekwa katika mioyo yetu kulingana na jinsia zetu,kila mtu akifanya kama alivyoagizwa basi matokeo yake huwa ni mazuri...