Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,475
Wana chit chat, taifa starz oyeee.. Eti kama si kuwa mwanadamu ungependa kuwa nan? Uwe 'ngazi' upandwe kila siku, uwe 'vocha' uwe unakwanguliwa, uwe ATM card uwe unaingizwa, uwe mti uwe unakatwa tu au uwe pipi unanyonywa?