Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
7,924
Reaction score
20,912
Heshima mbele wakuu.

Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji.
Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo.

Hata wezi nao pia watoto wanaiga wanakuwa wezi!
 
Back
Top Bottom