Ungependa kutoka na nani hapa JF....

Ungependa kutoka na nani hapa JF....

heheheheheheheeeeeeeeeeeiya

sijui niseme au niseme hapa ngoja nikuPM
wala hakuna tindikali hapa kwani wewe unaona nini?
Wala sina yeyote yule.

We unao wangapi ili nijue jinsi gani ya kujihami maana tindikali nje nje sku hizi
 
Back
Top Bottom