Ungependa Darassa afanye collabo na nani?

Ungependa Darassa afanye collabo na nani?

Kwanza we muuliza swali ni nani wa darasa nianzie hapo
 
Daah wazee walimu wenu hawafundishagi spellings ama?

Vp = Vipi

Shule zishafunguliwa rudisha line na charger ya mjomba uende shule

navutia kasi kidogo si unajua tena marage ya shule yana chosha mkuu
 
Mkuu mm nimeongeleaa kurudisha simu but tupo pamoja

Sijui kama kuna simu ya shule ambayo ni ya kuslide au ina jf ndani hata st marry na st fransiss hawana simu kubwa simu zao ni kamaa hii
7583b2f1a2da13fd01f4229d32e90cd9.jpg

ST DANGOTE, tunatumia tablet
 
Dogo janja wakiitengeneza vzr itatoka ngoma kali sana
 
Back
Top Bottom