Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,504
- 12,845
Hii ni both team to score.
Tena jamaa ndo kama kakuzidi kipato jiandae kisaikolojia au kama jamaa ana tia mambo vizuur kuliko wewe pia jiandae
Hii ni both team to score.
Tena jamaa ndo kama kakuzidi kipato jiandae kisaikolojia au kama jamaa ana tia mambo vizuur kuliko wewe pia jiandae
Una hoja usikilizweOgopa sana mtu mwenye mahusiano na mpenzi wake wa zamani kabla yako! Nasisitiza ogopa sana.
Hutokaa uweze kuwaachanisha, hapo wewe ndio uachane nao.
😄😄😄 Ninoma mzee nikubahatisha tu mtu.Wanawake kama unafanya nae Kazi au mkiwa marafiki wanakua na akili ila mkidate tu gafla anaanza kutumia utelezi kufikiri
Naunga mkono hojaKachek dna ya mtoto wa tatu ..sio wako mkuu
Pia kuwa makini na machozi ya huyo mwanamke atapiga tena kitu kizito hapo kausha tu
Ila ukimsamehe jua next time atacheat tu....
Tena jamaa ndo kama kakuzidi kipato jiandae kisaikolojia au kama jamaa ana tia mambo vizuur kuliko wewe pia jiandae
Uko sawa? Mbona kama vile stress zinakudrive kucomment?Kuna mwamba nikianza kulia tu ananipiga mate na Dudu inamsimama ...anataka....yaan mtu unahuzuni yeye anadindisha🤨
Amekiri kosa, ameomba msamaha, ameapa hatorudia unangoja nini kumsamehe mlee watoto wenu?
Samehe saba mara sabini




Piga watoto wa wawili afu usioneshe Nia ya kutaka kumuoa gafla anakua na akili😄😄😄 Ninoma mzee nikubahatisha tu mtu.
Wanasema first love never die Acha Mambo yao tuwaachie wenyewe
Ndugu yenu ganii?Umefuraaahi.
Nasikia wewe nawe unamtesa ndugu yetu huko.



Akigusa bega tu, unampa bila hiyana.Ndugu yenu ganii?
Mbona kwangu ana enjoy sanaa.
Ampe tu. Huwa wakati mwingine anakutajia na wengine,unakuwa na uhakika asilimia zote kwamba keshashindikana. Labda amepata anaempenda zaidi.Once a cheater, always a cheater
Ukishajua kakucheat piga chini hapohapo usimsikilize hata aombe msamaha, alie machozi, apige magoti au ajigalagaze hapo chini.
NAKAZIA: Usimpe nafasi ya kumsikiliza
Piga chini hapohapoAmpe tu. Huwa wakati mwingine anakutajia na wengine,unakuwa na uhakika asilimia zote kwamba keshashindikana. Labda amepata anaempenda zaidi.