Ungekuwa ni wewe ungefanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Jun 16, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Je ungekuwa wewe ndo huyo mwenye shati nyeupe ungefanya nini?

  [​IMG]
   
 2. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hii ni kanyanga jamaa yuko full dresses wapi na wapi? Au mchezo wa kuigiza?
   
 3. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  igizo hilo mwanamke anasikiliza maelekezo kabisa!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ray B,..Jamaa haulizi kama hii ni kweli au ya kubuni, anachotaka ni kupata maoni kama ungekuwa wewe umepatikana na masahibu ya hivi ungejiokoa vipi!...Hakika hapa ni kimbembe...labda kama unamzidi nguvu jamaa, ni kumvaa, vinginevyo uombe msamaha na kugaragara chini!
   
 5. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Oyaaa PJ ulipotelea wapi mzazi?
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  ..Si unajua broda mishemishe za mujini humu!!...nilienda kuongeza kengine ka pili!..but i hope everything is fine out there!..sivyo?
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Upo sahihi, lakini tunaweza kujifunza kwa kupitia maigizo kwani kinacho igizwa huwa nia mabo yanayotokea katika jamii yetu.
   
 8. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ohoo then hapo nadhani ni kutoka na dirisha tu tatizo ni kama multiple storey na uko floor ya juu kazi nnooo
   
 9. k

  kakamdogo New Member

  #9
  Jun 18, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inategemea na huyo binti ni nani kwako.
   
 10. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Hakuna haja ya kuomba msamaha. Ukishaona hali imekuwa hivyo iwe zangu au zake namalizana nae tu huyo jamaa nikilipata hilo panga namkwangua masikio then nachimba maana yeye akikushika hatakuacha hata kidogo!
   
Loading...