Ungefanyaje kama mzazi wako wa kike angekuwa na tabia hizi.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
169
Ndg kama mzazi wako wa kike anajibua kama hawa mabinti wa siku hizi hivi unaweza mwambia nini? Maana mimi huwa nakereka sana niwaonapo bibi mzima eti anajibua na huu mkorogo nakuwa kama papai. Jamani wapeni ushauri wazazi wenu wenye tabia hii haipendezi. Maana anakuwa kama sanamu la michelini. Pole wenye wazazi wa tabia hii.
 
Duuuh hiyo ruga yako! Kujibua lol!

Me ninge mshauri aache kwa kumwambia madhara yake!
 
Ndg kama mzazi wako wa kike anajibua kama hawa mabinti wa siku hizi hivi unaweza mwambia nini? Maana mimi huwa nakereka sana niwaonapo bibi mzima eti anajibua na huu mkorogo nakuwa kama papai. Jamani wapeni ushauri wazazi wenu wenye tabia hii haipendezi. Maana anakuwa kama sanamu la michelini. Pole wenye wazazi wa tabia hii.
kujichubua mku sio kujibua!!! bt wengne wanapendeezaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! cheap mkorogo users ndio huwa kama papai!!
 
Ndg kama mzazi wako wa kike anajibua kama hawa mabinti wa siku hizi hivi unaweza mwambia nini? Maana mimi huwa nakereka sana niwaonapo bibi mzima eti anajibua na huu mkorogo nakuwa kama papai. Jamani wapeni ushauri wazazi wenu wenye tabia hii haipendezi. Maana anakuwa kama sanamu la michelini. Pole wenye wazazi wa tabia hii.

shukuru mngu wako hayupo hivyo usingepost hii kitu hapa..
 
Nifanyeje na yeye ndiye aliyenizaa! NAZI HAIWEZI KUSHINDANA NA JIWE!
 
Ndg kama mzazi wako wa kike anajibua kama hawa mabinti wa siku hizi hivi unaweza mwambia nini? Maana mimi huwa nakereka sana niwaonapo bibi mzima eti anajibua na huu mkorogo nakuwa kama papai. Jamani wapeni ushauri wazazi wenu wenye tabia hii haipendezi. Maana anakuwa kama sanamu la michelini. Pole wenye wazazi wa tabia hii.

Ntamwambia mama umependeza. Vipi we ukimkuta baba yako wanamla tigo utafanyaje?
 
Wameshaambiana kua mwanamke mwenye dili ni mweupe so kila mtu anataka mkorogo.. Tuwaache waenjoy ndo kula maisha kwenyewe hukoo
 
Nashangaa tabia kujichubua sio weusi tu hata wazungu nao. ila mimi ningechukia kama babangu nae angechubua kma nyoshi el saadat
 
Kuna wengine wanapendeza lkn other du hadi sura imekua kama nyoshi el sadaat mwekunduuuuu!!
 
Back
Top Bottom