Israeli akifika anakuta tumezima, ataamua mwenyewe atuchukue hivo hivo au asubiri tuamke.Namuita min -me na Evelyn Salt tupige vyombo mpaka hiyo saa ya unyakuo.
Kwa mujibu WA Imani yangu Mimi na yako pia ewe msomaji,ikitoke mmoja wenu akafa,akapewa dakika kumi kurudi duniani arudi Tena kaburini,atakachokimbilia kukifanya ni kutoa SADAKA.Kifo ni ukumbusho wa jinsi tulivyo dhaifu, na kwamba kila kitu kinaweza kuondoka kwa sekunde.
Hofu zako zote hizo - wale wanaokuzuia: hofu ya kukataliwa, kuchekwa, kutengwa; - haimaanishi chochote unapoongeza kifo kwenye fomula.
Ungefanya nini, ikiwa ungejua utakufa baada ya saa chache?
Ulimwambia huyo binti unampenda?
Kwa sababu hayo hayapaswi kuogopwa tena.
Kifo huweka mambo yote sawa.
Kila kitu kingine kisichokuwa kifo kinakuwa kitu kidogo tu.
Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa wiki ijayo?
Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa kesho?
Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa mwezi ujao?
Naam. FANYA HIVYO, SASA.
Ishi, wakati bado unaweza.
Mtu mmoja anasemaga siku uliyozaliwa ndipo ulipoanza kufa.So best kujiandaa sababu kila siku unazidi kupunguza siku zako za kuishi unaelekea kufa. Hata kama utaishi miaka mia ila utakufa tuu.Hata wale waliokuja na kikokotoo cha pension akilini mwao ni lini mstaafu atakufa.Pesa zangu chukueni
Kabisa bro tunakula vitu polepole mpaka bwana wa majeshi ajeNamuita min -me na Evelyn Salt tupige vyombo mpaka hiyo saa ya unyakuo.
Kukumbuka na kutambua mimi ni nani ndio dhumuni langu.Mkuu wewe dhumuni lako ni nini
Je, akija Bibi wa majeshi mtamkataa?Kabisa bro tunakula vitu polepole mpaka bwana wa majeshi aje
Aje yeyote tu bwasheeJe, akija Bibi wa majeshi mtamkataa?
Hahahaha kama mimi nitazindukia mbinguni broIsraeli akifika anakuta tumezima, ataamua mwenyewe atuchukue hivo hivo au asubiri tuamke.
Na kuamka sijui ni saa ngapi, akitaka tuwe na akili timamu awe na supu nzito pembeni.Israeli akifika anakuta tumezima, ataamua mwenyewe atuchukue hivo hivo au asubiri tuamke.
Inabidi akuchukue ukiwa timamuHahahaha kama mimi nitazindukia mbinguni bro
Ni kweli kabisa tusi subiri kufa ILA. Ukiona BADO unaishi basi jipange kupokea maadui wapya KILA ujuanapo na WATU NDO maisha yalivo ukifanya SASA basi UWE utamaduni WAKO KILA SIKU MANA Leo utakorofishana na WATU utaomba msamaha KESHO TENA uyazinguana NAO mkuu. Kula na watoto yatima tunapenda ILA hatuna hicho kipato mkuu tavanyaje SASA Bora nijue nakufa KESHO tauza mali ZANGU zingine ILI nikamilishe Hilo SWALA man Sito KUEPO TENA.Fanya hivyo sasa