Unganisha hizi nukta

Unganisha hizi nukta

Huyu jamaa alitakakumiliki ufukwe wa bahari ya coco na taratibu zote alikuwa amezimaliza Kiujanja ujanja, tukampokonya

Huyu jamaa alitaka kununua timu ya yanga aimiliki kiujanja ujanja, tukamzuia

Huyu jamaa alikuwa anamiliki plaza moja kubwa akashindwa kulipa kodi tukairudisha ikawa mali ya umma

Jamaa huyu huyu ametajwa kwenye orodha ya wanaojihusisha na madawa kulevya.

Huyu jamaa ni mjanja mjanja ofisini kwake wamekamatwa wakazi haramu zaidi ya mia

Huyu jamaa ni mjanja mjanja.

Wajanja wajanja wote mnakaribishwa kuja kutoa mapovu

Muwe mnafanya research Kidogo , Sheria za tanzania haziruhusu kununua na kumiliki fukwe, wewe hii yako umeitoa wapi ? . Ukweli ni kwamba jamaa alitaka kukodi na ku improve sehem ile , kitu ambacho serikali itafanya pia in the near future . Kama alikosa au alipata isiwe kesi Ila tanzania hii huwezi kumiliki fukwe. Let's think positively
 
Yaweza kuwa unayosema yakawa na ukweli. Lakini ya mtoa mada yote ni ya uongo?
Inaweza ikawa yalioelezwa na mleta post yakawa na ukweli 'kiduchu' sana.

Lakini bado sababu kuu ya kuandamwa huyu mhindi ikawa ni za kisiasa, kutokana na kumuunga mkono mzee wa mamvi.

Hebu unganisha dots nyingine. Katika list ya awamu ya 2 aliyotoa Makonda, katika wale big 4, ambao ni Mbowe, Gwajima, Manji na Idd Azzan, utaona katika list hiyo Mbowe ametajwa ili kuuchafua upinzani nchini, kwa kuwa yeye ni Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini.

Manji ametajwa kwa kuwa inajulikana wazi kuwa wakati wa kampeni mwaka juzi alikuwa upande wa mzee wa mamvi by 100%

Tukumbuke pia Askofu Gwajima naye alikuwa akimuunga mkono kwa kiasi kikubwa mzee wa mamvi.

Tatizo kubwa la Magu ni kuwa anatawala kwa kutumia visasi, ambapo haitakiwi kwa mtu ambaye 'anamiliki' the highest office in our country kufanya hayo anayoyafanya.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom