Unganisha hizi nukta

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,121
Huyu jamaa alitakakumiliki ufukwe wa bahari ya coco na taratibu zote alikuwa amezimaliza Kiujanja ujanja, tukampokonya

Huyu jamaa alitaka kununua timu ya yanga aimiliki kiujanja ujanja, tukamzuia

Huyu jamaa alikuwa anamiliki plaza moja kubwa akashindwa kulipa kodi tukairudisha ikawa mali ya umma

Jamaa huyu huyu ametajwa kwenye orodha ya wanaojihusisha na madawa kulevya.

Huyu jamaa ni mjanja mjanja ofisini kwake wamekamatwa wakazi haramu zaidi ya mia

Huyu jamaa ni mjanja mjanja.

Wajanja wajanja wote mnakaribishwa kuja kutoa mapovu
 
Wala hizo siyo sababu kuu zinazofanya huyo jamaa aandamwe..................

Sababu kuu ni kuwa wakati wa kampeni za mwaka juzi, huyo jamaa alimuunga mkono mzee wa mamvi!
Kumbe ndio maana anatetewa na BAVICHAA
 
Wala hizo siyo sababu kuu zinazofanya huyo jamaa aandamwe..................

Sababu kuu ni kuwa wakati wa kampeni za mwaka juzi, huyo jamaa alimuunga mkono mzee wa mamvi!
hata hiyo siyo sababu
 
Wala hizo siyo sababu kuu zinazofanya huyo jamaa aandamwe..................

Sababu kuu ni kuwa wakati wa kampeni za mwaka juzi, huyo jamaa alimuunga mkono mzee wa mamvi!
Yaweza kuwa unayosema yakawa na ukweli. Lakini ya mtoa mada yote ni ya uongo?
 
Na huyu mjanja mjanja anaweza kuinunua familia yako yote mkawe mapambo kwenye chumba cha mlinzi getini kwake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom