Unga unamuharibu Albert Mangwea

Rest well Albert
 
🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Hivi uzinzi,ushoga na madawa ya kulevya ipi zambi kubwa
 
Alionywa mapema kumbe! Loh! Sikio la kufa!
Inasikitisha Sana,mwaka mmoja baada ya post ya kuonywa akatangulia mbele ya haki.

Ngwair alikuwa kashatumia madawa ila MP to The P alikuwa Clean wakati wakiwa Club ,Wezi waliwawekea madawa ya kulevya kwenye vinywaji ili wazime kisha wawaibie Pesa ,kwakuwa Ngwair alikuwa tayari kashakula dawa kitendo cha kuwekewa nyingine ndiyo kikaenda kumzimisha lakini M to the P natambaa na chaki alikuwa hatumii so alivyowekewa haikumletea madhara zaidi ya kupoteza fahamu kisha kuzinduka.

Miaka 13 ishapita leo tangia hilo tukio litokee.

M.A.P Albeto 120.
 
Ngwair maisha kuiga
Unaweza kusema usela
Mavi
Langa naye ndio hivyo mambo ya kuiga na kugongeana kijitiki kmbe wengine wanachanganya na dawa
Na watoto dizain hiyo ukiwakanya ahhh utaporomeshewa kila aina
Ya lugha,utasikia braza we unajuwa nini acha kutuingilia...
Mwisho wa siku gari likiwaka ni balaaa

Ova
 
Hichi kipindi naona hakipo tena. UJENZI
 
Kama alitumia Crystal meth ndy balaa
Maana inapasua ubongooo...
Unaweza hadi kupata stroke...

Ova
Acha uongo kaka.
Mbona wabongo kibao hapa Mowbray Cape Town, mfano kina Hamad, Doja na Rasta Domi, wanatumia Meth na bado wanadunda.
 
It was well said
 
Kweli mkuu ,vijana wanapenda kuiga na kudanganyana ,wengi wanaongopeana kwamba ukipiga MADUDE ukimkamatia manzi SHOW SHOW na wengine ndiyo kama hivyo kugongea MISUBA bila kujua source yake ndiyo hivyo wanapigwa COCKTAIL.
 
WAsanii gani kaw majina ambao wapo kwa sasa na wanatumia madawa , tuwaombee kwa Mungu waache?

Mambo ya kuombea marehemu hapana!
 
WAsanii gani kaw majina ambao wapo kwa sasa na wanatumia madawa , tuwaombee kwa Mungu waache?

Mambo ya kuombea marehemu hapana!
Wengi waliosemwa kwamba wanatumia enzi hizo baadhi washatangulia mbele za haki na wengine wameshaacha.

M.A.P Mak Malick(Simba) , Ngwair ,Langa ,Dogo Mfaume etc

Walioacha Lord IZI(Terror) ,Fanani , Ibra Da Hustler ,Byser etc

Wanaoendelea Simba la masimba Haujui.
 
Mimi wacha tumuwekee Simba mla nyama toka ZnZ kwenye Maombi, kwanza Simba ajue vibinti vyake vinakuwa muosha huoshwa, na aache hizo issue tajwa, kama ni kweli .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…