Unga mkono JWTZ kulinda mipaka ya Nchi yetu!

I will take my annual leave and head direct to the front line. naipenda sana nchi yangu na nimekua nikiomba siku moja niwe kwenye front line

What a word ... !!

We w,l meet there Brother!!!! ...

Will pack my spaceship (in the avatar) ... AND fly a JET fighter ... then will heavily pound this stubborn Malawians ....!!
 
Acheni unafiki nyie. Wengi wenu juzi mmeambiwa mafao yenu mnatunziwa mpaka mkifikisha miaka 55 mkaanza kutoa povu kwa hasira. Leo ukiambiwa mafao yako yakanunulie mabomu ya kulinda mipaka, nina hakika hakuna hata mmoja atakayenyoosha puwa yake kuunga mkono. Mnaandika tu sababu mna vidole vya kuandika. Mwalimu katufungisha mikanda kipindi kile na Iddi Amini, wengine mpaka leo ndugu zetu wengi tu hawajafunguwa hiyo mikanda. Leo mnataka muwaongezee mkanda mwingine juu yake. Na hatujuwi huo wa pili uta-tight vipi. Acheni upumbavu. Na kwa taarifa yenu, kampuni zinazofanya exploration hazipendi kucheka na kima yeyote anayetaka kuingilia interest zao. Tieni puwa mtaniambia.
 
mbona hutuzungumzii kama Tanzania inatengeneza silaha na nchi inayotoa Makomandoo wengi Afrika? Nashangaa sana watanzania hatulijui JWTZ,umoja na nguvu kwa Watanzania wengi tutalijua JWTZ kupitia Malawi
 
Hehee hizi ndio akili za baadhi ya watz, daaah mungu samehe mara sabini!

Sasa unashauri tuwaachie sehemu yetu ya ziwa?
 
mbona hutuzungumzii kama Tanzania inatengeneza silaha na nchi inayotoa Makomandoo wengi Afrika? Nashangaa sana watanzania hatulijui JWTZ,umoja na nguvu kwa Watanzania wengi tutalijua JWTZ kupitia Malawi

Wajulie wapi kila siku wanashinda kwenye runinga na Isidingo the need?!
 
Japo mie ni mtanzania asilia naunga mkono kwa moyo wangu wote serikali ya malawi na ikitokea vita nitakuwa upande wao maana ziwa lenyewe halina manufaa kwetu zaidi ya kuoga na samaki tu. Huu ni upumbavu nchi inaliwa na wachache halafu niwasaidie kupigana nitakuwa **** kweli. Wanaofaidi waende wakapigane.

uzalendo kwa nchi yetu ni muhimu kuliko kila kitu, nawaomba ndugu zangu tusiingize siasa juu ya mgogoro wa malawi na mengine yanayohusu taifa!

Tangu juzi majira ya saa sita za usiku vikosi vya wapiganaji vya tanzania vikiwa na silaha nzito vimeanza kuwasili kusini mwa tanzania kukabiliana na uvamizi wa malawi,

ninawashauri wanaolidharau jeshi letu wasafiri mpaka kwenye ufukwe wa ziwa nyasa (beach) wakaone wapiganaji wetu walivyo pandisha mori kwa hamu ya kusubiri amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote tanzania na kuanza mtiti rasmi wa kumuonya banda!

Haijalisha juhudi za kidiplomasia zinaendelea lakini kinga na heshima ya taifa letu haitapuuzwa hata chembe,

pamoja na tamko la serikali ya tz kumtaka rais joyce banda kusitasha shughuli za utafiti wa mafuta katika ziwa nyasa mpaka suluhu ya kidiplomasia ipatikane, bado taarifa za kiintelijensia kutoka ikulu ya malawi zinasema kuwa mwanamama joyce ameshikilia uzi kuwa ziwa lote ni lake!

Katika hali hii, niwazi kuwa ili kuilinda mipaka ya nchi yetu yatupasa kuunga mkono jwtz kwa kila hali na mali, na ikilazimu kupatikana wapiganaji wa kujitolea mimi nitakuwa wakwanza kuingia uwanja wa vita kuitetea nchi yangu dhidi ya uvamizi dharimu wa malawi kwa ardhi yetu!

Tuache siasa tuungane kuwaunga mkono wanadiplomasia wanaojitahidi kuepusha vita na ikishindikana tuunge mkono vita kwa moyo mmoja kutetea uhuru wetu!

Itasikitisha kusikia siasa za chadema, cuf, udp, tlp,nccr mageuzi au ccm katika mgogoro huu.

Wote tuongee lugha moja tuhubiri uhuru wa nchi yetu, na hakuna kipande cha ardhi yetu kitakachomegwa na taifa lolote lile kigeni tungali hai watz!

Unga mkono jwtz kulinda nchi yetu!
 
Japo mie ni mtanzania asilia naunga mkono kwa moyo wangu wote serikali ya malawi na ikitokea vita nitakuwa upande wao maana ziwa lenyewe halina manufaa kwetu zaidi ya kuoga na samaki tu. Huu ni upumbavu nchi inaliwa na wachache halafu niwasaidie kupigana nitakuwa **** kweli. Wanaofaidi waende wakapigane.

Naamini wewe sio mtanzania halisi!

Na laana ya usaliti itakutafuna milele!
 
Wajulie wapi kila siku wanashinda kwenye runinga na Isidingo the need?!

hawajui kama 2006 ilitengeneza Boti 6 na zipo hapo Jeshi la Wanamaji Kigamboni. Hao Malawi wakisimama bila msaada wowote mi nadhan hati Siku 4 hawachukui.
 
Saafi, hawa wamalawi wanataka kupima nguvu zetu za kijesh ngoja tukawavamie! Mpaka blantaya wasagaji na mashoga hao alaa

Uchumi wa kifirauni haujawahi kustawi bila dhuluma. Ukiona mtu anataka kujenga uchumi kupitia ushoga ujue atakubali kila kitu ; ni malaya huyo na wote tunajua malaya anachotaka ni hela tu hajui cha kuchunga heshima yake. Huyu mama wa Malawi ni mtu wa jinsi hiyo kwani analazimisha kukuza uchumi na kubakia madarakani kwa kutumia mbinu zitakazomdidimiza kisiasa. Kulazimisha kuchimba mafuta na kutangaza vita.
 
naamini wewe sio mtanzania halisi!

Na laana ya usaliti itakutafuna milele!
acha unafiki yeriko wewe leo unanufaika nini kwa maisha haya? Kipi bora gesi iibiwe na kiongozi ama wachimbe wamalawi? Uzalendo ni upi kwa hili? Mbona hukusikika wakati walimu wakiomba nyongeza za mishahara wakati makamu wa rais anapangiwa matumizi ya kawaida ya bilioni 4 sawa na 11milion kwa mwaka?usinitie hasira sidhani hata kama mgambo ulikwenda na ikitokea vita nitavaa gwanda kuisaidia malawi hadi kieleweke
 
Acheni unafiki nyie. Wengi wenu juzi mmeambiwa mafao yenu mnatunziwa mpaka mkifikisha miaka 55 mkaanza kutoa povu kwa hasira. Leo ukiambiwa mafao yako yakanunulie mabomu ya kulinda mipaka, nina hakika hakuna hata mmoja atakayenyoosha puwa yake kuunga mkono. Mnaandika tu sababu mna vidole vya kuandika. Mwalimu katufungisha mikanda kipindi kile na Iddi Amini, wengine mpaka leo ndugu zetu wengi tu hawajafunguwa hiyo mikanda. Leo mnataka muwaongezee mkanda mwingine juu yake. Na hatujuwi huo wa pili uta-tight vipi. Acheni upumbavu. Na kwa taarifa yenu, kampuni zinazofanya exploration hazipendi kucheka na kima yeyote anayetaka kuingilia interest zao. Tieni puwa mtaniambia.

We umelogwa; aliyekudanganya mabomu yananunuliwa sasa hivi nani? kwa taarifa yako mabomu yaliyoko yanatosha kumgawia kila mtanzania 1 au 2. Nani kakwambia ukiwa umefunga mkanda huwezi pigana? Hii vita ni rahisi kuliko ile ya uganda na wakijipanga sawasawa siku 6 tutakuwa tumekombowa mali zetu.
 
Pamoja sana mkuu!

Tuungane kuiunga mkono JWTZ kulinda nchi yetu dhidi ya uvamizi wowote ule!
 
We umelogwa; aliyekudanganya mabomu yananunuliwa sasa hivi nani? kwa taarifa yako mabomu yaliyoko yanatosha kumgawia kila mtanzania 1 au 2. Nani kakwambia ukiwa umefunga mkanda huwezi pigana? Hii vita ni rahisi kuliko ile ya uganda na wakijipanga sawasawa siku 6 tutakuwa tumekombowa mali zetu.

umeniwahi mkuu
 
Someni makala iliyoandikwa na Ndugu JAMES ZOTTO

Sakata la mpaka kati ya tanzania na malawi: POLITICS VERSUS FACTS

Ndugu zanagu, huenda mnafuatilia vizuri tatizo la mpaka wetu wa ziwa nyasa na malawi! Nilishtushwa sana na hotuba ya bwana waziri. mimi napenda utaifa wangu na uzalendo wangu. lakini napenda sana kutetea mambo yangu kwa kuukubali ukweli, kujua facts zaidi, kukubali hata zile zinazonipinga na ndipo najipanga kujenga joja.

Eneo hili nafanyia study yangu ya PhD. Sidhani kama nipo sahihi zaidi na lengo langu si kusema nani anamiliki nini! Ukweli naoufahamu, tatizo si kubwa kivile kama tunavyolifikiri kama tutachukua muda kupitia documents zote na muhimu. Tunahitaji kwenda Public Records Office-Uingereza, Colonial Archives Potsdam, ujerumani, pia malawi national archives, tanzania national archives, libraries za UDSM na Chancellor college malawi. naamini ubishi utaisha kwa kuwa documents zote zipo.

Angalizo: ziwa nyasa liligawanywa na mabeberu wa kiingereza, kijerumani na kireno. mkataba wa 1890 uitwao anglo-german agrrement unasema mpaka wa German east africa(tz bara ya leo) na nyasaland(malawi ya leo) unapita kandokando ya ziwa nyasa kutoka mto ruvuma mpaka mto songwe! huu ni mkataba wenyewe, upo ktk documents nyingi sana.....!!international law inajua hili na international lawyers wanaelewa nini nazungumza! Sehemu nyingine ilikuwa ni 1891 kati ya ujerumani na ureno, mpaka ulianzia mto ruvuma kuelekea Portuguese east africa(msumbijin ya leo) na pia ureno ikawekeana mpaka na british nyasaland(malawi)...kwahiyo, kipindi cha ujerumani, mpaaka unasomeka 'it passes along the shore of the lake(nyasa).....

Mabadiliko ya mipaka: kipindi cha kikoloni, kabla ya mjerumani kuondoka, marekebisho ya mipaka yalifanyika kati ya mjerumani na mreno kwa kuspgeza mpaka mbele 0.5 KM from the original tripartite point, na vijisiwa vya mto ruvuma vikagawanywa. mpaka leo ipo hivyo. na eneo lingine ni kati ya mwingereza na mreno, ambapo, kisiwa kilichopo eneo la malawi linamilikiwa na msumbiji mpaka leo na eneo la ardhi lililopo msumbiji linakaliwa na malawi. mhuo ulikuwa mkataba wa marekebisho na ipo hivyo mpaka leo. kwahiyo, tulivyorithi mipaka, tumerithi na mabadiliko haya na hivyo hatuwezi kugombana na msumbiji wala msumbiji hawawezi kugombana na malawi. Mpaka wetu na malawi haukurekebishwa popote pale mpaka mjerumani anatoka...

Marekebisho ya mipaka kipindi cha uingereza: sote tunajua german east africa, sisi pamoja na ruanda na urundi tuligawanywa katika sehemu mbili, ttukiwa chini ya League of nations tukiangaliwa na uingereza. Kunamabo nahitaji tuweke sawa. tukaitwa mandated territory na uingereza ni mandatory power. turudi ktk kamusi tutofautishe a an annexed colony and a mandate! Mpaka ukawekwa kati ya ubelgiji na uingereza, uliitwa the MILNER-ORTS AGREEMENT OF 1922! katika mkataba huu, mto kagera ulikatwa katikati na mpaka leo tumerithi hivyo. Hapakuwa popote pale ambapo eneo la ziwa nyasa lilirekebishwa kwa njia ya mkataba baina ya nyasaland state na tanganyika state...., isipokuwa, tofauti na mandates zote, tanganyika pekee, ilikuwa na tofauti ndogo, ambapo, mpaka wa ziwa nyasa ukapewa wanachoitwa 'wording', na hivyo, ramani ya tanganyika na official records zikaonyesha kuwa mpaka umepita katikati ya ziwa nyasa! na hapa ndipo tatizo linapoanza na sisi tumechukulia hii ndo absolute fact, hatuendi mbele kidogo. haya yapo pale national archives secreatarita files, ACCESSION NUMBERE AB 8 na AB 30! nafikiri hotuba yote ya bwana mkubwa jana imetoka ktk files hizi, ndizo walizopelekewa!!!

twende mbele kidogo, ni kweli, kama mheshimiwa alivyosema jana, ramani nyingi kuanzia 1922 mpaka 1939 zinaonyesha mpaka upo katikati ya ziwa! je, ukweli huu utatutosha pekee mbeleni tukifikishana mbali? hapana!mheshimiwa hakusema kuwa ramani zingine, japo chache muda huu huu na official reports hazionyeshi mpaka au zinaonyesha mpaka upo chini. lakini ni chache! kwanini hili?bado natafuta majibu, lakini kwa harakaharaka, unaweza ukasema kuwa uingereza ilitamani tanganyika iwe koloni lake na si mandate! na pia ilishinikizwa na wawekezaji na hata jeshi ilisema afadhari waiteke ili liwe koloni na waachane na mandate! nahitaji tuelwe maana ya mandate.

Hii yote ilitokea baada ya Donald Cameroon, governor wa tanganyika kusema kuwa tanganyika is a part of the british empire and it will remain so! hii ni siasa na si ukweli kama unaelewa maana ya kuwa wao hawakuwa wamepewa koloni kama mali yao, bali kuliangalia mapaka wananchi wapate 'akili' ili wapewe uhuru! kwa hiyo, kimsingi, kwa maana ya sheria ya kimataifa, tanganyika haikuwa part ya british empire kama yalivyo makoloni yaliyotekwa mojakwa moja na uingereza yenyewe! hapa pakatokea mvutano mkubwa sana katika house of Lords na house of commons! na hivyo basi, mtafaruku huu wa mpaka ulianzia hapa, kwa kauli hii na hivyo hata waingereza wenyewe walivutana kuhusu mpaka. ipo hivi, mwaka 1926, wajumbe wa mabaraza waliibana serikali iseme mipka ya tanganyika na ule wa ziwa nyasa! mabishano, kama haya yetu leo yalikuwa makubwa, ila si kwa kutishiana kwa kuwa walikuwa wenyewe na walitaka kuwekana sawa! ndipo secretary of state for colonies alibanwa na mjadala ulikuwa wa kisheria zaidi ukihoji status of the mandate, british empire, n.k; na kama waingereza wanamamlaka ya kujipangia kuhusu koloni waliolokabidhiwa kuliangalia(nieleweke na si kulimiliki)! mwishowe, mtu huyu mwenye dhamana alisema kwamba, hata yeye anashindwa kuelewa, 'what exactly is the sovereignty of tanganyika lying'! jamani mnamwelewa huyu mtu? kwamaana hiyo, haelwi vizuri mipaka yetu, ambayo wenyewe ndo wameirekebisha au kuipa 'wording'!! hivyo, tatizo linaanzia hapa na si muda mwingine wowot!!!

Kipi hakusema bwana mkubwa jana: kuanzia 1939, mambo yalibadilika na hawa hawa watu tunaochukua ashahidi kutoka kwao, wakafanya madudu! na ilipoisha vita ya pili ya dunia, jamani oneni haya, hawa waingereza katika ramani zao, tena nyingi mno,(kaangalieni East africana section, university of dar es salaam, sehemu ya thesis, kuna cabins 3 zimejaa ramani na bado ni mpya sana kutokana na kutunzwa na pia kutotumka sana), kuimbezinaonyesha, bila shaka yoyote, kuwa mpaka wa tanganyika na nyasaland unapita pembeni mwa ziwa na si katikati! mkuu hakusema hili. aliishia 1939! kumbe hawa jamaa walichora tena ramani zote zikionyesha mpaka upo pembeni mwa ziwa!!!! kwanini hili?natafuta majibu, lakini nkwa haraka naweza nikaspeculate mawili. mosi, karibu na vita vya pili vya dunia, ilisikika tetesi kule duniani kuwa, ujerumani inarudi na inakuja kuchukua malokoni yake. (kasome national archives of tanzania, secreatariat files zote zenye kichwa cha habari, 'the future of tanganyika in british empire'). kwa hiyo, waingereza walihofia kutimuliwa na kurudi kwa wajerumani, na hivyo, wakarudisha ule mpaka wa awali wa 1890! na pia, muda huu, baada ya kwisha vita, tanganyika ikawa chini ya UNO ambapo ilipewa trusteeship status!maana ya hii ni rahisi kuliko mandate!ilimaanisha to be granted immediate independence! maana ya neno immediate hapa ni kwamba, kwa tafsiri yangu, waingereza wlifahamu wanatimka mapema mno kwani mkataba unasema hivyo....nafikiri, wakarudisha ramani zikionyesha mpaka upo pembeni...na kitabu ch Nyasaland cha mwaka 1958, kinaonyesha mipaka ya nyasaland na ziwa lote likiwa kwao! tukitaka kuwashinda wamalawi, lazima tukisome vizuri kipindi hiki na tuelewe facts zipi zinawapa kiburi na zipi sisi tuzitumie, la sivyo, tunaweza.............!!!!!!!!!!!!! kwahiyo future of tanganyika ilikuwa contested, uncertain, etc kipindi hiki, pamoja na mipaka yake pia!! tujiulize, kwa maana ya mandate, waingereza walikuwa na legal authority 'kurekebisha' mpaka wa ziwa nyasa? na je makosa waliyofanya waingereza, ndo legal backing yetu sisi? ebu tuzame tena tutafute facts tuwashinde hawa jamaa!

Tulishindwana na uingereza kurekebisha mipaka. mwalimu alisubiri mpaka malawi iwe huru!akatoa miaka mitatu tu na asingetambua mipaka ya kikoloni(soma hansard, 1962). walipopata uhuru, kukawa na matatizo ambayo jana bwana mkubwa aliyaeleza. nampongeza ni dhahiri, 1964 cabinet crisis ya malawi na wale mawaziri kutorokea nchini kwetu kupitia ziwa, banda akaona ziwa ni infiltratio route! sera zetu za mambo ya nje zilikuwa tofauti. tulikuwa frontline state kwa ukombozi, wenzetu wakasapoti makaburu na wareno na wakawa na balozi sehemu hizo.....wakagombana na mwalimu, military show down miaka ya 1967-8; matusi na kejeli zikatawala kati ya mwalimu na banda, sisi na malawi.....kipara cha banda kinamagamba, tuliimba tukiwa jeshini, mwalimu akasema mpaka a sensible leader akitokea malawi ndipo tutajadili tena swala hili na si na kamuzu banda! tulikuwa kimy, na kuanzia 1975, hatukuwa na tatizo,lakini si kusema kuwa tulitatua tatizo la mpaka!

Tulikaa kimya!mipaka haina tatizo isipokuwa ni time bomb ambapo ikitokea spark ni explosion! Tuliirithi kupitia Article III ya OAU CHARTER ya 1964 BAADA YA DEBATES KUBWA NA WENGI WAKARIDHIA TUIRITHI, uti possidetis, ita possidetis principle (so as you exist, so may you exist), kama kawaida yetu tulidesa ya kibeberu, Westphalia principle, border inviolabiliy! hatukupata muda mwingi wa kutafakari na kuangalia kila mpaka na matatizo yake....tulirithi na matatizo na yanatutatiza leo!!!

Way forward! naikiri tuna namna tatu ya kulimaliza! moja ni kwa majadiliano ya kawaida yaani diplomacy kama bwanamkubwa alivosema jana. pili ni kupigana vita. (war is another means of diplomacy), mnataka kuniona kichaa!huo ndo ukweli, atakayeshindwa atasalimu kama ilivyokuwa kwa uganda na sis. tatu ni mahakama ya kimataifa yaani International Court of Justice! hapa ninawasiwasi. kama facts zenyewe ni zile za jana tu, sijui kama tutatoka.tutulie, tuite wataalamu wetu wajikite ndani sana. ni kweli kama alivyosema jana bwana mkubwa kwa kunukuu kesi nyingi na zilizoshinda, na kwa kusema kuwa, tukienda mahakama ile sisi ndo tutashinda!!!ninashaka....tumejipa favour ya verdict! kabla ya kesi.sijui.ninashaka kubwa!kunakushinda, kushindwa au suluhu!ninashaka tena na tena!

mimi nimzalendo,nataka ukweli kwa njia ya mahojiano na kuumiza kichwa, tutetee mali zetu tukijua tunawashinda kwa hoja.....!!!!

Wasiwasi: inasemekana kuna mafuta ziwani!!! kwahiyo mjue marekani na washirika wake hawako mbali! tujue operation ya military imperialism na huyu mama, mpwa wa kamuzu banda, anapata wapi hiki kiburi...nyuma yake kuna nini na nani!!1tuangalie haya pia.

Hitimisho. tusiwe na hoja moj tu mkononi kama ndo water-tight evidence. tujaribu kuzibishanisha hoja zetu. na hoja nzuri ni zile zinazopingana nasi na tusizozipenda, tukizielewa na kuzikubali ndipo tutajipanga namna ya kuzigalagaza. tumwelewe vizuri adui yetu.....MUNGU IBARIKI TANZANIA!ZIWA NYASA!WANYASA!WATANZANIA!

Tusing'ang'anie tu REPARIAN LAW!
 
WEBONDO
Umefafanua mambo ambayo binafsi siyo yote nilikuwa nikiyafahamu juu ya NYASA,
My take:
Kukaa na wataalamu kwa ukaribu zaidi kabla ya kuanza kushikiana bunduki.
La kujiuliza:
Je? Tulikuwa hatujui kuwa kuna mafuta pale miaka yote,sasa kwanini tusianze kutumia kumbukumbu za kutossha kujua mipaka yetu.
Daaah! Tanzaniaaa weee!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni James Zotto ndiyo aliyeandika Makala hiyo na siyo Webondo.
 
Ni andiko zuri linatupa angalau picha ya nini kilifanyika, lakini kwamujibu wa andiko hilihili halimpi mamla Malawi ya kumiliki ziwa hilo, bali andiko hili linatoa nafasi ya kujadiliana na malawi upya!

Kwa mgogoro huu njia nyingine rahisi tunaweza kuamua kwakauli moja ya Tz na Malawi tukasema tuachane na mambo ya historia na tugawane upya,

Hili litategemea sana mtazamo wa busara na weledi wa wanadiplomasia wa Malawi!

Ikishindikana njia nzuri kwa Tanzania ni VITA tu ndio itakayotuamlia Watanzania na Wamalawi

Kwa njia ya mahakama itatuwia vigumu Watanzania kwa tayari mabeberu hawa wameshaonyesha dhahili wapo upande wa Malawi na ndio wanaofanya utafiti wa mafuta na gasi hivi sasa katika Ziwa hilo!
 
Back
Top Bottom