Unga mkono JWTZ kulinda mipaka ya Nchi yetu!

Mkuu!
Sitoshangaa sana maana yawezekana kuna mpango kabambe wa kuigawa Tanzania kama vile ilivyotokea kwa Sudan.

Vipi kuhusu jumuiya za kimataifa zinasemeje juu ya hili? Binafsi naona huko tuendako hizi zinazoitwa rasilimali zitatumaliza
kabisa sisi Waafrika.

Sawa tunaunga mkono JWTZ kuimalisha ulinzi mipakani,lakini ulinzi huo hautakuwa na maana yoyote iwapo rasilimali zilizopo hazitafanyiwa kazi ya kupunguza ugumu wa maisha na kudumaa kwa nguvu kazi ya taifa.
 
Hapimwi bali anapelekwa kuhudumiwa kama mgonjwa wa kichaa

Sasa hiki ndicho umetuambia tujadili?

National interest zinahitaji watu walio makini na si mazahax2 kama ambavyo wewe na wenzako mnavyoanza kujibizana,kiukweli this is not a greter thinker phylosophy.
 
Sasa hiki ndicho umetuambia tujadili?

National interest zinahitaji watu walio makini na si mazahax2 kama ambavyo wewe na wenzako mnavyoanza kujibizana,kiukweli this is not a greter thinker phylosophy.

Soma mada itafakari na utumikie,

Ukianza kufuatilia mizaha ya watu humu utatoka mweupe kichwani na moyoni mkuu!

Ungejadili mada kuu ungekuwa umejitendea haki!
 
Soma mada itafakari na utumikie,

Ukianza kufuatilia mizaha ya watu humu utatoka mweupe kichwani na moyoni mkuu!

Ungejadili mada kuu ungekuwa umejitendea haki!

Tayari nimekwisha ijadili mkuu,ila huwa nashangaa ambavyo tunavyopenda kujikita katika mizaha haraka sana kuliko mada husika.
 
hayo maneno tu, mbona huku tumeshaanza kujiandikisha? sipatii picha huyu mama banda tutamfanya nn tutakapoiteka Malawi .Hivi huyu ni mke wa docta kamuzu /litoto lake? maana majina ya mwisho kama yanafanania vile!
Mi nadhani nili hawara lake muraa....na siunaona hiro rimama renyewe hata harieleweki heleweki kama rinamume au riporipo tu
 
Back
Top Bottom