Loy michael
Member
- Jun 13, 2017
- 9
- 7
Jipatie unga bora wa mbegu za maboga kwa sh 5000/=(robo),sh 10000/=(nusu),sh 20000/=(kilo).Ukihitaji tupatie mawasiliano yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wewe nakutafuta sana,Mhmh kuuza uuze wewe sie ndio tukupe mawasiliano yetu??
nyie ndio mnakusanya namba za watu mnatumia msg za uganga
Halafu wewe nakutafuta sana,
Ni inbox kanamba kako pliiiiz.
Unatumika kupikia nini?
Mkipewa majibu na mimi mnitag.Kazi yake nini?
Wewe tuma kanamba tuhojiane vizuri.Unanitafutia wapi sikuoni
Sasa mkuu wakiosha sana si virutubisho vyote vitaenda na majiTatizo huwa hamuoshi ivizuri hizo mbegu.
Sababu wengi wenu hamzitumii mnapitisha tu kutoa ile njano basi, baada ya hapo mnaanika na kusaga
Wewe tuma kanamba tuhojiane vizuri.
Hata mimi nitumia ya kuazima fanyafanya basi unipatie hata ya namba baloziwako wa Mtaa.Simu sina sasa
Hata mimi nitumia ya kuazima fanyafanya basi unipatie hata ya namba baloziwako wa Mtaa.
Btw. Nikilala sina kawaida ya kuota watu na nikinywa Maji nafumba Macho hivyo siwezi kukuona pia kama shaka iko huko ondoa.
Kazi yake nini?
Kazi kubwa, unaongeza maziwa kwa mama anaenyonyeshaMkipewa majibu na mimi mnitag.
-Ndumilakuwili-
Kazi kubwa, unaongeza maziwa kwa mama anaenyonyesha