Unga mtamu wa uji wa LISHE

trudie

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
3,338
7,675
Habari za jumapili waumini wenzangu na wanaJF wote.

Jumapili ya leo tulivu nawaletea bidhaa mpya ya unga wa uji wa lishe, unga unatoa uji mtamu sana ulio na virutubisho vyote kiafya.

Unga umechanganywa nafaka mbalimbali kwa balansi na upo wa watoto special na kwa ajili ya watu wazima, wajawazito na watoto.

1. Unga wa uji lishe wa watoto ( Toto Smile) bei yake ni 5,000 kwa kg moja.
Huu ni unga wa uji wenye mchanganyiko wa nafaka zifuatazo
  • mahindi lishe
  • Ulezi
-Ngano
-Karanga
- Viazi lishe.

Unga huu ni special kwa watoto wadogo na una faida zifuatazo.
  • Una virutubisho muhimu kwa ajili ya afya ya ubongo ya mtoto
  • Unaongeza nguvu mwilini
_Unarahisisha mmeng'enyo wa chakula kwa mtoto
-Huboresha afya ya mifupa ya mtoto.

2. Unga wa uji lishe kwa watu wazima, wazee, wajawazito na wagonjwa bei yake ni 4,000 kwa kg moja.

Unga huu una mchanganyiko wa nafaka zifuatazo
- mahindi lishe
-ulezi
-mbegu za maboga
-Ngano
- mtama
-ufuta

Unga huu una faida zifuatazo.
  • Una virutubisho muhimu kwa ajili ya afya ya ubongo
  • Unaongeza nguvu mwilini
_Unarahisisha mmeng'enyo wa chakula
-Huboresha afya ya mifupa.

Tunatuma mikoa yote. Pia kwa oda ya kuchanganyiwa nafaka za chaguo lako huduma inapatikana. Kwa mawasiliano piga simu au whatsapp 0752 161149 au 0762014386. Huduma inapatikana Dar es salaam na Njombe mjini.
Kwa oda kubwa za mahoteli, mashule huduma inapatikana kwa haraka.View attachment 2702820View attachment 2702821View attachment 2702822
20230720_144532.jpg
20230720_144354.jpg
20230720_144605.jpg
 
Panua wigo wa bidhaa yako anza na kanda , mf kanda ya ziwa, kaskazini kusini nk
 
hatopendezea, kumbuka biashara ni matangazo na siyo wajaluo tu watakao utumia huo unga.

Ila watu wote, black or white.
Shukrani kwa mchango wako mkuu. Karibu sana unga wa uji mtamu.
 
Back
Top Bottom