UNGA BORA WA MBEGU ZA MABOGA

Tatizo huwa hamuoshi ivizuri hizo mbegu.
Sababu wengi wenu hamzitumii mnapitisha tu kutoa ile njano basi, baada ya hapo mnaanika na kusaga
 
Sasa mkuu wakiosha sana si virutubisho vyote vitaenda na maji

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo hujui ukiongeacho, mbegu zile unga uko ndani, kwani mahindi ukiyaosha yanapoteza nini?
Wajasiriamali wengi wa chakula wanatengeneza kwa uchafu sana, niliwahi shuhudia zinavyooshwa nikajisemea moyoni kama huyu anaosha mara zote hizi tena kwa maji ya dawasco hao wengine ambao hawana maji ya dawasco wanaweza poteza muda kuosha mara zote hizo?
 
Simu sina sasa
Hata mimi nitumia ya kuazima fanyafanya basi unipatie hata ya namba baloziwako wa Mtaa.

Btw. Nikilala sina kawaida ya kuota watu na nikinywa Maji nafumba Macho hivyo siwezi kukuona pia kama shaka iko huko ondoa.
 
Balozi kasafiri sijuwi itakuaje
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom