Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
chacha wangwe ndio nani? i mean alikuwa nani?
Kifo chako nacho kitakuwa big events kwa jinsi ulivyo na madeni
Natania kaka, usikunje ngumi
ati huyu jamaaa in red anataka kurudi? ati na balali wants to come back home?Elvis prisley,John kennedy, Robert kennedy,chacha wangwe,dr Omar ali Juma,brenda fassie ,michael jackson,kim jong il,Tupac shakur Amina chifupa..the list goes on .....why .Today Regia Mtema RIP.
Huyu kwani Kafa?​Daudi Balali
chacha wangwe ndio nani? i mean alikuwa nani?
Jesus Joseph Christ of Nazareth Israel the Messiah
ati huyu jamaaa in red anataka kurudi? ati na balali wants to come back home?
ivi we duduwasha ushawahi kuwashwa wewe?au ndo umeanza leo?tangu lini YESU KRISTO akaitwa YESU YOSEFU KRISTO?