Unemployed Man Got Married against Friends Advise..

sijui kama umewahi kusoma hii kitu na unajua mwandishi alikuwa anamaanisha nini hapa? :"lile jiwe walilolikataa waashi ndio jiwe kuu la pembeni"
wakati mwinginne ni burudani na wakati mwingine ni mafundisho pia ila yategemea yamekukuta katika mazingira gani au yako katika mazingira tunayoishi sasa best
 
imenibidi nimuweke huyu jamaa (J. cena) ili anilinde kwani nimekuwa mwiba kwa wengine naogopa watanidhuru bure

lol, basi kweli anakulinda maana wengine tushaanza kukuogopa!

sijui kama umewahi kusoma hii kitu na unajua mwandishi alikuwa anamaanisha nini hapa? :"lile jiwe walilolikataa waashi ndio jiwe kuu la pembeni"

Nimeisoma sana na kuelewa kuwa "dharau nazi, embe tunda la msimu, utakula jeuri yako"
 
Usiwe biased mkuu,wanaume wa wakati huu pia sio. mtahaha pamoja ila akizipata tu anakuona hufai. Wanaume wananyenyekea sana kama mifuko imetoboka ila akizipataaa ndio utamjua vizuri.
 
Nilioa nikiwa sina kazi ila nilikuwa na cheti na sijawahi nyanyasika hadi leo
 
ladyfurahia,
Laiti maisha ya ndoa yangekuwa mazuri kama nguo za maharusi ingekuwa safi sana.
Sijui kwa nini maharusi hawavaagi nguo za kaniki, kuonyesha kuwa sasa wanaenda kuanza maisha ya mapambano makali

 
Last edited by a moderator:

Mkuu grafani11 hapo sikubaliani na wewe
Wanasema avatar nyingi zinareflect hali halisi ya wahusika na inawezekana hata kwako hapo
 
Last edited by a moderator:
Hehehehehehhehehehe jamani umenichekeshaje mkuuu hayo uliyoongea ni kweli kwamba ndoa ni mapambano na ndo mvumilivu unahitajika 100%
ladyfurahia,
Laiti maisha ya ndoa yangekuwa mazuri kama nguo za maharusi ingekuwa safi sana.
Sijui kwa nini maharusi hawavaagi nguo za kaniki, kuonyesha kuwa sasa wanaenda kuanza maisha ya mapambano makali
 
Kizungu kigumu hata sijaelewa, what is the moral of the story?
 

Jamani mwaka 1998 ilikua ni karne nyingine!!
 
Last edited by a moderator:
hata kama ilikuwa karne ingine ila ni true story ya karne hiyo ilitokea

Mimi sipingi kama ilitokea au lah ila kutumia hii story kureflect mahusiano ya miaka ya leo ndio kitu nachopinga japo kwa asilimia chache sana kinawezekana..

Honestly, marafiki ni threat kubwa sana kwenye mahusiano sanasana kwa nyie wadada, ni vyema kufanya kitu kama moyo wako unakubaliana nacho na si kwa kuangalia marafiki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…