Understand that speacial lady you have fallen for....

Likewise... likewise Brother, Ashadii is proud that you are my bro, Usishangae kulelewa pamoja it bound to make us think kimoja in most cases..
Thanx my lovely dada,God bless u!
 
Mwenzangu hata mimi, mimi ni mmoja wa wale ladies proud to be a woman thus expects to be treated so!

baby hakuna kitu nakipenda kwa mwanamke kama mwanamke mwenyewe kujijua kwamba ni mwanamke, na yupo na mwanaume....yaani hapo tu basi...mengine yote yanakuwaga mteremko...
 
baby hakuna kitu nakipenda kwa mwanamke kama mwanamke mwenyewe kujijua kwamba ni mwanamke, na yupo na mwanaume....yaani hapo tu basi...mengine yote yanakuwaga mteremko...

Sweetie... why do you think we are compactable???
Sababu naelewa nafasi yangu na naipenda,
unaelewa nafasi yangu na wanichukulia hivyo,
unaelewa nafasi yako na waipenda,
naelewa nafasi yako na naichukulia hivyo...
Why pasiwe na mteremko??
zaidi saana kujikwa tu kwa speed yetu as a result of compactiblity...lol
 
exactly my line of thinking hun,

swali ni kwamba kwa nini wengine wanashindwa kujitambua?
 
exactly my line of thinking hun,

swali ni kwamba kwa nini wengine wanashindwa kujitambua?

We do not choose who we are or our circumstances Sweetie
ndio mimi ni mwanamke na naelewa wachache saana wana utambuzi huo,
kingine mshukuru my mom Sweetie she is a srong woman with qualities ambazo
mpaka leo bado ana uwezo wa kuni amaze and am already grown up!
Na namshukuru Mungu i have made a lot of mistakes katika maisha yangu..
I never regret... i learn from them... Mimi kuku appreciate wewe is a result
of having a man opposite from you huko nyuma... Umenipata dearest?
 
kwann lawama ni kwa ladys tu? even guys ndio most funua kichwa katika hizo age ,za 18-30 .. binafsi wanawake wanakua na problem katika hiyo age ,but wanakua na haya, na inafika time wanajua matatizo yao wengine na kuchange ,lakin resorn ya hayo n man ambaye anakua ana mshawishi maovu, then kama uta olewa girl mara nying una keep yr respect to yr belove lakin wao never keep it,unadhan wanawake wata tolerate ? never
 
Dah! Wahida dear kwanini umechukulia kua ni lawama??
Sio lawama this is the reality as i see it na ladies wengi wamekubali
ingawa YES wapo walokataa.. and please take in mind kua nazungumzia
ladies hawajawahi olewa, na pia nakubaliana kabisa na hio nilo bold but
unfortunately swali lako sijaelewa...

unadhan wanawake wata tolerate ? -If what happens???
 
calm down wahida....
 
Kwani ina copy write aise nikopy na kupaste sehem
 
Kwani ina copy write aise nikopy na kupaste sehem

ha ha ha... Mr. R... you had to bring it up eeeh?
Thank you Bana... it seems imekufaaa....lol..

On a serious note, nimeandika mwenyewe hivyo kama
kuna mahala una paste inatakiwa kweli nijue... labda tu kama
for personal use...
 
For personal use my dear and i wont use it agaist your wish or rule.
Just allow me to use it
hahahahahha Nimeibring up bana maana nimeona ni useful sana
 
For personal use my dear and i wont use it agaist your wish or rule.
Just allow me to use it
hahahahahha Nimeibring up bana maana nimeona ni useful sana

AshaDii is humbled you think so.... THANK YOU....
And itumie ipasavyo kwa mda mfupi ulete results...

Sasa wee age yako of interest ni ipi hapo juu??
 
AshaDii is humbled you think so.... THANK YOU....
And itumie ipasavyo kwa mda mfupi ulete results...

Sasa wee age yako of interest ni ipi hapo juu??

Thank you as you are so sweet and lovely
My interest is between the age of 19 to 25 and i think it will be ok to me

I will do that dear worry not and i will tell you exactly what will be the result
 
Thank you as you are so sweet and lovely
My interest is between the age of 19 to 25 and i think it will be ok to me

I will do that dear worry not and i will tell you exactly what will be the result

oh! THANKS for the compliment... appreciated saaana... And of course ina maana

bado upo age ya kuto oa eeeh? Maaana 19, huo wakati wa ku fall in love and divulge completely na life...
 
Age 18-25 wanawake wanakuwa juu vibaya, ukiwa na inferiority huwezi kuwasemesha kabisa kwao kila kitu wanadeserve. Hapo wanaume wa hiyo gae wanahangaika na life na jinsi ya kuwapata. Maana stori hazipandi maana mwanamke masimulizi yake ni ndoto tu kama na boifriend yupo ulaya, ana gari ana simu kali na ana kazi poa. Akifika 26 anatambua mwanaume ni yupi ndipo hapo anaanza hundting hata wewe aliyekusahahu anaanza kukutafuta wakati umri huo wanaume kichwa kikubwa ndio ameanza kuwa stable kimaisha. Sasa basi kwa kuwa wanaume wengi wanakosa vitu fresh wakati wao wakiwa na umri kati ya 18-25 ndipo anaanza kufikiri kuwa wahitaji pesa na ndoto nyingi ili kumpata binti mdogo, ndipo afikapo umri wa 40 mwanaume anarudi kwenye miaka 18 na mwanamke anakuwa mtu mzima na mama wa nyumbani. Wanawake mjitahidi kuwaeleimisha wadogo zenu maana wanaingia kwenye ndoa na vidonda walivyopata kati ya miaka 18-25 kwa kuishi maisha ya kufikirika. Ni mtazamo tu nawasilisha.
 
oh! THANKS for the compliment... appreciated saaana... And of course ina maana

bado upo age ya kuto oa eeeh? Maaana 19, huo wakati wa ku fall in love and divulge completely na life...

Yeah though not real but this will be my great chance to see the reality and meaning of love
Thank you and you are warmly welcome to advice, challenge
 
Aiseeee
Nilikuwa sijaoina hii . . . . maana ndio haswaaaaaa ninaokutana nao kila kona.
Ngoja niisome na kuitafakari vizuri na nilichokiona kwa rika hili.
Ashadii my woman, take me a note.
Usii - edit chochote hapa mpaka nimalize kusoma
 
CPU mimi naedit sasa maana nina copy right hapo
 
Reactions: CPU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…