Mume wahi fanya the needful???
ADI,
Tumetoka mbali wenzio...Enzi zetu weee acha tu. Yaani ukiona paja tu la msichana unaweza kupiga yowe kama vile umevamiwa na simba. Usishangae kijiji kizima kikakusanyika ku-rescue.....Enzi hizi za laani mapaja, maziwam, tumbo na mengine mengi yako nje bwelele....Ni mengi tu kuanzia smooth hadi yale yaliyo rough kama ngozi ya kenge!!!
Everythink is on a commercial break...Hii dunia yenu peke yenu aiseee!!!
Sana tu mpaka kujiexpress ishu ikaja kwenye kutoa pesa nile kwa uhuru akachomoa
Hapa ume backstab last man standing:wink2::wink2::wink2:ha ha ha... (sorry...lol hapa)
Sasa atleast naweza unganisha a lot....
Kama umeachika pouwa tu, kikubwa umeonja joto au baridi ya jiwe...lol
Yaani ulitakiwa ulipie msosi??? No wonder humtaki na hivi kachuja...
unaona the way ulikua naive... ulikua radhi ulipie msosi alafu na
ku halalisha, naamini saizi hamna anaeweza kukutega kiasi hicho...
ha ha ha .... Alafu unasema you have never loved....lol
Enzi hizi DC, wanaume hatuna hata haja ya kutongoza,
dada zetu wanakuwa wameshajitongozesha wenyewe,
the reverse is true, sasa hivi wanaume ndo wanaokataa/kukubali kutoka na mwanamke lol.....
kweli wakiwezeshwa , wanaweza!!!!!!
Hapa ume backstab last man standing:wink2::wink2::wink2:
Enzi hizi DC, wanaume hatuna hata haja ya kutongoza,
dada zetu wanakuwa wameshajitongozesha wenyewe,
the reverse is true, sasa hivi wanaume ndo wanaokataa/kukubali kutoka na mwanamke lol.....
kweli wakiwezeshwa , wanaweza!!!!!!
Mi naona kawaida tu na maisha yanasonga
Hahahaha lakini kumbuka sikuwa katika deep feelings mm nilitaka niwe na kata kiu kwa uhuru kuliko kujificha ficha kwenye maguest
Huna loloooote... si ndo story zenu za kijiweni hizi....lol
I dont buy hata uuze kwa bei gani, nishajue you fell hard!!
Matunda ya Beijing hayo lakini wananichosha pale wanapo kataa kazi za kubeba magunia wanasema eti za wanaume
helloooo!! i am in dsm at the moment,hivyo kukutana na wana JF inabidi nitembee na bango lilioandikwa JF or what?
Hahahahaha ndo hivyo bana pale nilipo achika si ningekuja kuomba ushauri kwa wadau jamani mwenzenu nimeachika
HAPO tukikutana,id za JF wont count,sababu you will be in the flesh-hapo sasa all will be laid bareAre interested in me?? If interested unataka nikutane nawe
kama Ashadiii or Faiza Foxy (the alternative ID umenipa...lol)
one thing will lead to another(daydreaming is my middle name)and in the end a tearfull confessionA very positive yet diverging reply....