zegebovu1
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 415
- 135
Piga mahesabu yako lakini usisahau kufunga EFD
Sista punguza masokhara
Piga mahesabu yako lakini usisahau kufunga EFD
Hata mm natamani kulima ila cjui nikalime..natamani ruvu ila kuna mdau ameniambia ruvu kipindi hki kuna mafuriko
Mtali said:Njoo Igurusi
Ulikuwa mwezi wa4 mwaka jana mm nilikuwa km dalali.ni wangingombe njombe..wanunuz walitoka dar..we ivisha soko lipo.