Unazikumbuka filamu hizi??

Unazikumbuka filamu hizi??

Kuna movie moja mdada alitaga yai, kulipasua akatoka mtoto ana rangi ya kijani, nayo cjui yaitwaje, anayejua atukumbushe.
 
Itv
____
1. Ile movie ya "V"
2. ile ya vicent jitu lenye sura ya simba
3.Mchezo wa kenya " Tausi"
4. Tamthilia ya mauaji "tahamaki"
5. Sumbi na bocha
6. Nyota ensemble
7. Mzee jongo na bi nyakomba
Ctn
____
1. Vituko vya mzee small "cheka na ctn"
Dtv
_____
1.Kitimoto cha pascal mayala

dah Sumbi na Bocha long saaana!
Mambo hayo akina seki, joti, mpoki
mizengwe ya zembwela na max
 
Itv
____
1. Ile movie ya "V"
2. ile ya vicent jitu lenye sura ya simba
3.Mchezo wa kenya " Tausi"
4. Tamthilia ya mauaji "tahamaki"
5. Sumbi na bocha
6. Nyota ensemble
7. Mzee jongo na bi nyakomba
Ctn
____
1. Vituko vya mzee small "cheka na ctn"
Dtv
_____
1.Kitimoto cha pascal mayala

ila tamthilia ya Tausi ilikuwa mwisho wa matatizo nawakumbuka sana akina masta sugu,joto, mzee kasri, siti, mjuba, kibibi
 
Nashukuru nimeipata ni Beauty and the Beast.... niliipenda sana hii, pamoja na Bugs...... Unamkumbuka Mr T??

mr. T jitu la miraba minne lilikuwa linanyoa staili flan hivi siku hizi mnaita kiduku
 
kipindi hiko ITV ilikuwa kituo kizuri sana walikuwa na vipindi vizuri vilivyosisimua watazamaji wake. Mfano, kwenye filamu kulikuwa na filamu kama vile Rino rens jamaa alikuwa na anapenda sana pikipiki, point man, time trax, family matters na nyingine tele. Je wewe unazikumbuka zp?

motto combat..
 
ila tamthilia ya Tausi ilikuwa mwisho wa matatizo nawakumbuka sana akina masta sugu,joto, mzee kasri, siti, mjuba, kibibi

Bi mhonja, kibibi, mzee kasri, rukia, mzee mlahaka, mponda,tina, ondiek, sangoma kalumanzira,dama, rindi,
 
Bi mhonja, kibibi, mzee kasri, rukia, mzee mlahaka, mponda,tina, ondiek, sangoma kalumanzira,dama, rindi,

nilishamsahau dama, ahsante kwa kunikumbusha.
Nasikia mzee kasri na siti wameshatangulia mbele ya haki
 
naombeni mnijuze hivi hii Isidingo haiishi?
 
Motor Combart...

Hii ilikua kali sana, full mauchawi, inanikumbusha jamaa katili kwenye hili picha aliyeitwa TAGAWA, anatokeza nyoka kiganjani na spidi ya hatari, aaa ni noma!
 
Hii ilikua kali sana, full mauchawi, inanikumbusha jamaa katili kwenye hili picha aliyeitwa TAGAWA, anatokeza nyoka kiganjani na spidi ya hatari, aaa ni noma!

huyu Tagawa huwa anapatiaga sana km adui kuu
 
Back
Top Bottom