Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Unazijua couples zilizomo humu JF.?

kila mtu huwa ni jasusi kwa kuzaliwa
inategemea tu mazingira yememsukuma kwa kiasi gani
kushika bunduki ubungo mataa saa 7 mchana ni ujasiri wa hali ya juu sasa leo mazingira yanakutaka uwe jasusi kwa haya masaa 6 yalobaki

afu mpige marufuku kuja na shosti zake

Hahaha atapike nyama na wine
 
Na uchukia sana mfumo jike nimetoka kumnywesha demu kala michemsho kaja na wapambe wawili saizi ananiambia sweety kuna msiba nyumbani nimetumiwa meseji hii hapa dah.
hapo ujanja unamwita waiter na kumgawia 250 kisirisiri,halafu anawashtua kwa kuwaambia kila mtu alipe bili yake.
utasikia wote wanaanza kusema i love u fidel80
 
kila mtu huwa ni jasusi kwa kuzaliwa
inategemea tu mazingira yememsukuma kwa kiasi gani
kushika bunduki ubungo mataa saa 7 mchana ni ujasiri wa hali ya juu sasa leo mazingira yanakutaka uwe jasusi kwa haya masaa 6 yalobaki

afu mpige marufuku kuja na shosti zake

Nimesha chukua namba kesho nahamisha nguvu kazi kwa shosti
 
ha ha ha ha, hili tusi limenichekesha
nakusamehe sababu najua unampenda wifi angu
hapa ni mchanganyo tu una hasira hata na kijiko
dah sio hivo bhana,we mjanja sana mtu akikupenda lazima awe na imani dhaifu kama Tomaso
 
hapo ujanja unamwita waiter na kumgawia 250 kisirisiri,halafu anawashtua kwa kuwaambia kila mtu alipe bili yake.
utasikia wote wanaanza kusema i love u fidel80

Uzuri mashosti ni wazuri kuliko yeye na mm nimesha daka mawasiliano wangekuwa hawajaenda mileage ningewachezea karata tatu.
 
ukitaka kuwakomoa zaidi
pokea simu afu utoka nje kidogo
sepa mazima waacha hapo wakimalizia vinywaji na msosi
zima simu hadi kesho yake

wakikupigia kesho yake waambie ulipaliwa na mate ukakimbizwa hospitali

dunia hii hata mtoto wa malkia anachezewa karatu tatu
 
ananiamini kama mtoto mdogo anavyoamini binadamu

unamrusha hewani unamwachia anacheka tu anajua lazima utamdaka tu

dah sio hivo bhana,we mjanja sana mtu akikupenda lazima awe na imani dhaifu kama Tomaso
 
ukitaka kuwakomoa zaidi
pokea simu afu utoka nje kidogo
sepa mazima waacha hapo wakimalizia vinywaji na msosi
zima simu hadi kesho yake

wakikupigia kesho yake waambie ulipaliwa na mate ukakimbizwa hospitali
lol kesho hamu utapoozea wapi
 
ananiamini kama mtoto mdogo anavyoamini binadamu

unamrusha hewani unamwachia anacheka tu anajua lazima utamdaka tu
ila ukishadakwa kwenye penzi lazima utadata mazima na hizo janja zako
 
kwa kweli mie kuliko kula kilichoenda mileage
bora nile kuku wa kienyeji
mgumu kuiva lakini ana ladha

wale si wanakuwa kama nyama imechemshwa leo watu wakanya supu, kesho inaongezwa maji inapikwa tena watu wanakunywa supu tena

duh! Afu elasticity kama big G inavutika mita 500 toka usawa wa bahari

Uzuri mashosti ni wazuri kuliko yeye na mm nimesha daka mawasiliano wangekuwa hawajaenda mileage ningewachezea karata tatu.
 
kwa kweli mie kuliko kula kilichoenda mileage
bora nile kuku wa kienyeji
mgumu kuiva lakini ana ladha

wale si wanakuwa kama nyama imechemshwa leo watu wakanya supu, kesho inaongezwa maji inapikwa tena watu wanakunywa supu tena

duh! Afu elasticity kama big G inavutika mita 500 toka usawa wa bahari

Kabla hujala unapima oil kwanza ili ujiridhishe
 
Yeah si uliona juzi kati alivyo kuwa anapigwa kanya boya we panton limepakwa rangi usiku usiku ili apande aone jipya
piga suti ya kuazima,ongea lugha za kigeni,halafu atashoboka mwenyewe,akishoboka na ukafanikiwa rudi kwenye
biashara yako ya kuuza mkaa
 
Back
Top Bottom