Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Unazijua couples zilizomo humu JF.?

hapa mujini kuna mambo
yote hayo yanatokea

ukiingia kwenye fani umedhamiria
warning: ni marufuku kumfanyia asali wa moyo

we uwatoroke watu kwenye list ya menu halafu kesho uwatongoze tena?
 
hapa mujini kuna mambo
yote hayo yanatokea

ukiingia kwenye fani umedhamiria
warning: ni marufuku kumfanyia asali wa moyo
siku hizi asali wa moyo naye anaomba menu kwingine
 
alikuwa anaongea na lile kama baba la ma-strering

nikamwambia ndio mat.si hivyo
maana mchungaji hapendi
akakataa kuacha, mie nikarudi nyumbani

I thwea ni kweli

Sasa na wewe ulikuwa unafanya nini hadi akasinzia..lol
 
Eti fynest anataka nimlindie kila saa
wakati mie naye niko busy na-reply kwangu
eti mie ndo pasinzie
ntakesha na nani sasa

unamwacha mpaka anasinzia wakati unareply kwingine,utakuwa unataka kumpiga chini
 
Back
Top Bottom