Unajua nini swali langu..kama haumtreat mumeo vizuri atatafuta watu wanaojua kutreat vizuri...
Kumbuka sisi wanaume sio wajinga..
Ukweli ni kwamba...wanaume wengi narudia tena wengi japo sio wate wana maside chick. ..ila tu kwa kuwa wewe ni mke wake na anakupenda hawezi hata siku moja kukuonyesha na wala huwezi kugundua na hata kuhisi.
Ukiona mpaka mmeo anakuonyesha texts za hawala wake .
Hapo lazima kutakuwa na kitu tu Dada angu.. we chunguza vizuri.
Mkeo kweli mvumilivu yelewiiiii utakula ulipopeleka mboga aisee
Kama ni hapahapa mjini ninapata wasiwasiKweli kabisa huwezi amini
Ila yote haya ni matokeo ya utegemezi
Ndio maana kakubali kuletewa mchepuko....Na ndo kinachomkosti mke mkubwa.. Kuna wakati tulimshauri amwombe mumewe amfungulie biashara mume akafungua biashara ya kawaida tu sema ndovile huyo dada sijui hana mkono wa biashara aliiacha ikafa mpaka waleo ataanzaje kumwambia tena biashara naile ilimshinda?! Yupo wa nyumbani kula kulala kumsubir mumewe
Sidhani kama kuna mwanamke anapenda kuongezewa mwenzake hata kama hawataishi nyumba moja,ni ngumu sana,,
Chanzo cha yote ni pale unapomkabidhi mtu uhuru wako wa kufanya vitu halali kwa njia inayoitwa ndoa.Ndoa sio utumwa
Ila walioko ndoani ndio wanajitia utumwa
Hivi anaanzia wapi kwa mfano kuleta chepuko??????
Na wakija wakiona nimekaa kimya wakatoe taarifa polisi kabisaaaaaaaaa
Dawa ya mwanaume ni kukosa helaNa ya mwanaume ninini labda ???
-Uwezo wa pesa kama anao ni bora akawaweka nyumba tofauti hata kama ni za kupanga lakini tofauti.Inaonekana Uwezo anao ila sexually sijui Japo haiwezekani kuwatosheleza make huwezi jigawa nusu nusu
mbona hueleweki ni mchepuko au Mke mdogo! na kwa maelezo yako inaonyesha ni Mke mdogo nashangaa ww unasema ni mchepuko by the way kama ni Mke mdogo ni vitu vya kawaida na mara nyingi mapenzi huwa yanaenda kwa Mke mdogo na kama angekuwa na mapenzi nawe huyo Mke Mdogo usingemuona
Ha ha ha ha Huyo.wa kumuua uwe na ubavu unaweza jikuta wewe ndio uko. HosptalHahahaahhahahaahahahahaha mi naua mutu aisee akienda kazini akirudi atanikuta jela
Ndio maana kakubali kuletewa mchepuko....
Na mwanamke usipokuwa na kipato hawa wanaume watakuonyesha rangi zote za dunia hii
Ajipange
Huyo mke wa jamaa lazima kuna mwanaume mwingine anamsaidia kupunguza genye na mawazoHahahaahhahahaahahahahaha kwanini??
Chanzo cha yote ni pale unapomkabidhi mtu uhuru wako wa kufanya vitu halali kwa njia inayoitwa ndoa.
Kama jamaa asingekuwa na mke si angefaidi michepuko yake bila wasiwasi wa kufumaniwa au kumkwaza mtu?
-Uwezo wa pesa kama anao ni bora akawaweka nyumba tofauti hata kama ni za kupanga lakini tofauti.
-Uwezo wa chumbani ni siri yao ila utamu unaenda zamu kwa zamu itategemea na mlivyojadiliana kama ni siku 2/wiki kila mmoja zamu kwa zamu