feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,198
NoUtakuja kwangu?!
NoUtakuja kwangu?!
Ah!...jamanii
Uchoyo c kitu kizuri.. Kizuri Kula na wenzio..siwezi na sitaweza
Hii mimi ninaweza sana.
Nikiwaga na mihela akili zinwaza mchepuko tu na mbwembwe kama hizi, mpaka hela ikate mfukoni ndio akili za kutulia kwa wife zinarudi...
Ila tuliambiwa wanawake ni viumbe wavumilivu na wapole, inabidi na hizo mbwembwe azivumilie tu.
Na wewe mtoa uzi...kabla hujaweka uzi wako hapa...embu jiulize kwanini..umeletewa nyumba ndogo nyumbani...
Ukishapata jibu ndio tuendelee.
Nashukuru kwa kuutambua kuwa ni authorized mchepuko in short ni mke halali. Ukikaa mjini sana unaweza kufikiri kuwa hawezekani. Lakini ukitoka nje ya mjini ndio utakuta inawezekana sana tena huo mchepuko ndio utakuwa unasaidia bi mkubwa kupika, kuchota maji na huduma zingine na maisha yanasonga kama kawaida.
how is it possible nyumba ndogo ikaletwa ndan what i knw mke wa pili ndio anaweza kuish nyumba moja na mke wa kwanza..... kama umeletewa mchepuko na wewe bado unaangalia tu naweza kua na mashaka na majukumu yako kama mke
Wanawake waliofunzwa Hao bhana!!!
Mmh!Ipo kabisaa mpaka dakika hii nayoongea
LABDA NIKUULIZE MASWALI YAFUATAYO, KAMA NI KWELI THEN HAYO UNAYOULIZA HAPO JUU YANAWEZA KUTOKEA:
- JE UNAWEZA MNYIMA MUMEO UNYUMBA ZAIDI YA WEEK MOJA?
- UMAMHUDUMIA MUMEO IPASAVYO AU HOUSE GAL ANAFANYA KILA KITU NA UMEKUWA MKE WA TENDO LA NDOA?
- JE UNAWAHUDUMIA WATOTO PEKE YAKO?
- UKIJA NYUMBANI UNATUMIA MDA GANI JAMII FORUMS/SMART PHONE/FB/INSTAGRAM/ETC/TAMTHILIYA
- UNAFANYA NDOA YAKO INAKUWA HAI?
DADA ZANGU HATA KAMA MMEOLEWA NA MPO WENYEWE ACHENI VIBURI NA KUDANGANYIKA KUACHA MAJUKUMU YENTU, MATOKEO YENU KWA KWELI HATA KAMA MKE MDOGO ATALETWA NYUMBANI ATAKUWEPO TU MAHALI!