Unajua nini swali langu..kama haumtreat mumeo vizuri atatafuta watu wanaojua kutreat vizuri...Wee hujui tu yani.. Kwanza Mke Mkubwa baada ya kuona tu chattings za mume na mchepuko alishasema weeeeeeee mume ndo wa kuelewa Somo!!!!???? ndokwanza anasisitiza kuwa yule ni mke wangu naomba ujue hilo na sitaki umtukane na maneno yako yanyodo nimekwambia yule nae ni mke wangu na nampendaaa.. Mke sema sema wapi siku nyingine mume hata wiki mbili anakaa na kulala kwa chepuko badae anarudi kwake kwa mchepuko kwake kwa mchepuko.. Saiv mchepuko yupo likizo ndoivo
Mkeo kweli mvumilivu yelewiiiii utakula ulipopeleka mboga aiseeHii mimi ninaweza sana.
Nikiwaga na mihela akili zinwaza mchepuko tu na mbwembwe kama hizi, mpaka hela ikate mfukoni ndio akili za kutulia kwa wife zinarudi...
Ila tuliambiwa wanawake ni viumbe wavumilivu na wapole, inabidi na hizo mbwembwe azivumilie tu.
Ndoa sio utumwaNdo maana huwa nasema ndoa ni utumwa,
Mnaoana kwa mbwembwe ila mkishakinaishana mnaanzisha vitimbi.
Ukiwa bachelor una amua umkaze nani bila ya kumkwaza mtu.
VARIETIST TODAY, TOMORROW AND FOREVER.
Usiondoke hivi hiviMimi sifugi huo ujinga.Nitaondoka niwaache wakae kwa uhuru.
Na wstoto wameangalia tu mama yao akipewa kichapo????ebhana mi hiyo nimewahi kuishuhudia sehem flan hv, jamaa kaongeza mke wa pili humo humo ndani, sio siri mke mkubwa akaanza kuteseka sana mpka vichapo,
kibaya zaid mzee ni 52yrs afu mchepuke 22 yrs! na anawatoto wakubwa kuliko hako kamchepuko kake, sasa utamu ulikuja pale alipoanza kuwaforce watoto wampe shikamoo mchepuko. weeee!
Wanawake Wa sasa sijui mkoje yaan hamueleweki kabisa... Mmejawa na wivu Wa kijinga tu... Utakuta mwanamke anawivu kwa Mme wake wakat kutekeleza majukumu ya mwanamke hawezi.. Umeolewa huna bikra , umefika kwa mmeo huachi mchepuko, kitandan mvivu visingizio haviishi kisa tu umetoka kukazwa na mchepuko, kupika kazi zote unamwachia hausigeli, ndan ya nyumba mmeo unamjibu kunya, mda wote kujifanya bize ... Mmeo akiamua kutafuta mke Wa Pili vurugu haziishi..
Wakat wazee wetu waliweza kuoa hata wanawake 6 lakn wake zao hawakuwa na wivu kama hawa wasasa Wa mitandaon na Beijing...![]()
![]()
![]()
![]()