Wanawake Wa sasa sijui mkoje yaan hamueleweki kabisa... Mmejawa na wivu Wa kijinga tu... Utakuta mwanamke anawivu kwa Mme wake wakat kutekeleza majukumu ya mwanamke hawezi.. Umeolewa huna bikra , umefika kwa mmeo huachi mchepuko, kitandan mvivu visingizio haviishi kisa tu umetoka kukazwa na mchepuko, kupika kazi zote unamwachia hausigeli, ndan ya nyumba mmeo unamjibu kunya, mda wote kujifanya bize ... Mmeo akiamua kutafuta mke Wa Pili vurugu haziishi..
Wakat wazee wetu waliweza kuoa hata wanawake 6 lakn wake zao hawakuwa na wivu kama hawa wasasa Wa mitandaon na Beijing...[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]