Unawezaje kuvumilia hii?

Unawezaje kuvumilia hii?

Hahahaahhahahaahahahahaha ndio Bonny kama huu ni msimu wa maembe?? Kwa mdogo maembe yanapatikana kwa bei kubwaaa afu kwa nadra sa kwa mkubwa maembe kibao asimtungulie mwenzie tu??
Ha ha ha ha ha kwa kwel upend wa bi mkubwa ananupendo uliopitilza inabd na wewe uige huo mfano we upeleke mpka mananasi
 
Maji ya moto yanamhusu huyo mchepuko, ningewaonyesha kweli
 
Hivyo ndiyo namna bomu la nyuklia linavyotengenezwa huko North Korea
 
That's true! Ila kwahuyu mkubwa Nina walakini na akili yake.. Kuna kipindi mumewe anaumwaga presha ambayo inasababishwa na nyumba ndogo.. Na nyumba ndogo sijui ashajua muwe wa mtu kafa kaoza kwake ndo makusudi kibaooo presha presha mpaka mkewe anampigia simu kumuuliza mke mdogo umemfanyeje huyu??? Anaumwa siku ya Tatu Leo Njoo umuone wewe ndo atapona.. Mi najua ukija tu atapona Mdogo anajibu mumeo nimemwambia namuacha aendelee na familia yake mi uke wenza siwezi.. Mkubwa kwa upoyoyo anaanza kubembeleza mdogo jameni usimuache anakupenda sana mi najua tu anakupenda sana ukimuacha sijui yani khakhaakhaa kwahizi akili za mkubwa hizi mwee


Hebu tuma picha kwanza, mbona kama unajizungumzia mwenyewe.... Teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom