Unawezaje kuvumilia hii?

Unawezaje kuvumilia hii?

Unajua nini swali langu..kama haumtreat mumeo vizuri atatafuta watu wanaojua kutreat vizuri...

Kumbuka sisi wanaume sio wajinga..

Ukweli ni kwamba...wanaume wengi narudia tena wengi japo sio wate wana maside chick. ..ila tu kwa kuwa wewe ni mke wake na anakupenda hawezi hata siku moja kukuonyesha na wala huwezi kugundua na hata kuhisi.

Ukiona mpaka mmeo anakuonyesha texts za hawala wake .

Hapo lazima kutakuwa na kitu tu Dada angu.. we chunguza vizuri.

Wanaume sio wajinga ila wanawake wao ndo wajinga????? Hivi ukiniletea nikamuua itakuwaje?? Utaniacha nikafie jela uoe mwingine sio??? Mlaaniwe wanaume wahivi
 
Ukioa mke wa pili uwe na uadilifu na uwezo wa kuwatosheleza.
Kama huwezi basi oa mmoja.
 
Mkeo kweli mvumilivu yelewiiiii utakula ulipopeleka mboga aisee

Ndo alichofanya mke mkubwa ikifika kipindi hata nguo hamfulii haki hampi anamwambia aende huko kwa mke mdogo na apeleke nguo huko kufuliwa lakini mwanaume ndokwanza hata hatikisiki kwa kuwaza.. Mke akaondoka kwao na kuja kuomba ushauri... Sasa mke ana watoto wadogo na hana Kazi watoto wanahitaji kula n.k mhmmhmhmhmh tukamshauri nayeye akaamua arudi tu atavumilia sasa hii ya kuletewa ndani mwenza ndo mpya sasa yani mpaka Huruma.
 
Ila yote haya ni matokeo ya utegemezi

Na ndo kinachomkosti mke mkubwa.. Kuna wakati tulimshauri amwombe mumewe amfungulie biashara mume akafungua biashara ya kawaida tu sema ndovile huyo dada sijui hana mkono wa biashara aliiacha ikafa mpaka waleo ataanzaje kumwambia tena biashara naile ilimshinda?! Yupo wa nyumbani kula kulala kumsubir mumewe
 
mbona hueleweki ni mchepuko au Mke mdogo! na kwa maelezo yako inaonyesha ni Mke mdogo nashangaa ww unasema ni mchepuko by the way kama ni Mke mdogo ni vitu vya kawaida na mara nyingi mapenzi huwa yanaenda kwa Mke mdogo na kama angekuwa na mapenzi nawe huyo Mke Mdogo usingemuona
 
Ndio maana kakubali kuletewa mchepuko....

Na mwanamke usipokuwa na kipato hawa wanaume watakuonyesha rangi zote za dunia hii

Ajipange
 
Sidhani kama kuna mwanamke anapenda kuongezewa mwenzake hata kama hawataishi nyumba moja,ni ngumu sana,,

That's true! Ila kwahuyu mkubwa Nina walakini na akili yake.. Kuna kipindi mumewe anaumwaga presha ambayo inasababishwa na nyumba ndogo.. Na nyumba ndogo sijui ashajua muwe wa mtu kafa kaoza kwake ndo makusudi kibaooo presha presha mpaka mkewe anampigia simu kumuuliza mke mdogo umemfanyeje huyu??? Anaumwa siku ya Tatu Leo Njoo umuone wewe ndo atapona.. Mi najua ukija tu atapona Mdogo anajibu mumeo nimemwambia namuacha aendelee na familia yake mi uke wenza siwezi.. Mkubwa kwa upoyoyo anaanza kubembeleza mdogo jameni usimuache anakupenda sana mi najua tu anakupenda sana ukimuacha sijui yani khakhaakhaa kwahizi akili za mkubwa hizi mwee
 
Ndoa sio utumwa

Ila walioko ndoani ndio wanajitia utumwa

Hivi anaanzia wapi kwa mfano kuleta chepuko??????

Na wakija wakiona nimekaa kimya wakatoe taarifa polisi kabisaaaaaaaaa
Chanzo cha yote ni pale unapomkabidhi mtu uhuru wako wa kufanya vitu halali kwa njia inayoitwa ndoa.
Kama jamaa asingekuwa na mke si angefaidi michepuko yake bila wasiwasi wa kufumaniwa au kumkwaza mtu?
 
Ukioa mke wa pili uwe na uadilifu na uwezo wa kuwatosheleza.
Kama huwezi basi oa mmoja.

Inaonekana Uwezo anao ila sexually sijui Japo haiwezekani kuwatosheleza make huwezi jigawa nusu nusu
 
Inaonekana Uwezo anao ila sexually sijui Japo haiwezekani kuwatosheleza make huwezi jigawa nusu nusu
-Uwezo wa pesa kama anao ni bora akawaweka nyumba tofauti hata kama ni za kupanga lakini tofauti.
-Uwezo wa chumbani ni siri yao ila utamu unaenda zamu kwa zamu itategemea na mlivyojadiliana kama ni siku 2/wiki kila mmoja zamu kwa zamu
 
mbona hueleweki ni mchepuko au Mke mdogo! na kwa maelezo yako inaonyesha ni Mke mdogo nashangaa ww unasema ni mchepuko by the way kama ni Mke mdogo ni vitu vya kawaida na mara nyingi mapenzi huwa yanaenda kwa Mke mdogo na kama angekuwa na mapenzi nawe huyo Mke Mdogo usingemuona

Sa mtu hajamzalia hata mtoto ndokwanza Alianza nae kama mchepuko tu mkewe alipojua ndo kumwambia kuwa bwana mi yuleee ni mke wangu mwingine ndo ujue. Mbona mwanzo hakumwambia wazi mkewe mpaka mkewe aliposhtuka??
 
Ndio maana kakubali kuletewa mchepuko....

Na mwanamke usipokuwa na kipato hawa wanaume watakuonyesha rangi zote za dunia hii

Ajipange

Sema mke mdogo mwenyewe anafeel guilty kuvamia kwa mwenzie anamwambia mwanaume ampangishie kwingine mume hataki eti watamuiba.. Mpaka Muda mwingine mdogo anamwambia mume Leo ukalale na mkeo kakumiss jamani mume anajibu nani huyo?????
 
Chanzo cha yote ni pale unapomkabidhi mtu uhuru wako wa kufanya vitu halali kwa njia inayoitwa ndoa.
Kama jamaa asingekuwa na mke si angefaidi michepuko yake bila wasiwasi wa kufumaniwa au kumkwaza mtu?

Kwahiyo unataka kusema kidumu CHACHAMA?? ( Chama cha mabachela?? Inafika wakati hayo utayaacha automatic
 
-Uwezo wa pesa kama anao ni bora akawaweka nyumba tofauti hata kama ni za kupanga lakini tofauti.
-Uwezo wa chumbani ni siri yao ila utamu unaenda zamu kwa zamu itategemea na mlivyojadiliana kama ni siku 2/wiki kila mmoja zamu kwa zamu

Sawa ni siri ila vingine vipo wazi tu kuwa u can't satisfy two women at the same time. Haya Leo umelala kwa mkubwa nahuku mimi ndo niko hot balaa yani zile siku za kuwa nahamu na mwanaumeeee nawewe siku hizo si zamu yangu!!! Vipi hapo????! It's not fair. NOT FAIR AT ALL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom