Unawezaje kuvumilia hii?

Napelekaje mchepuko nyumbani kwangu kwa mama wa watoto wangu mchepuko utaishia barabarani tu

Ndo kuna mke keshapelekewa sasa natena unataka kufanywa nyumba ndogo
 
Unajua nini swali langu..kama haumtreat mumeo vizuri atatafuta watu wanaojua kutreat vizuri...

Kumbuka sisi wanaume sio wajinga..

Ukweli ni kwamba...wanaume wengi narudia tena wengi japo sio wate wana maside chick. ..ila tu kwa kuwa wewe ni mke wake na anakupenda hawezi hata siku moja kukuonyesha na wala huwezi kugundua na hata kuhisi.

Ukiona mpaka mmeo anakuonyesha texts za hawala wake .

Hapo lazima kutakuwa na kitu tu Dada angu.. we chunguza vizuri.
 
Mkeo kweli mvumilivu yelewiiiii utakula ulipopeleka mboga aisee
 
Umezidi uvivu wacha small house akusaidie majukumu mamaa... Kizuri kula na nduguyo

Vibaya hivooo! Wewe unaeza shea mke na mwanaume mwenzio??? Utakubali kweli!???
 
Ndo maana huwa nasema ndoa ni utumwa,
Mnaoana kwa mbwembwe ila mkishakinaishana mnaanzisha vitimbi.
Ukiwa bachelor una amua umkaze nani bila ya kumkwaza mtu.

VARIETIST TODAY, TOMORROW AND FOREVER.
Ndoa sio utumwa

Ila walioko ndoani ndio wanajitia utumwa

Hivi anaanzia wapi kwa mfano kuleta chepuko??????

Na wakija wakiona nimekaa kimya wakatoe taarifa polisi kabisaaaaaaaaa
 
Imani yangu inazuia tu lakini kuwa na akiba ya mwanamke ni kitu mhimu mno ktk maisha basi tu!

Watu washaasi maagano saivi wanasikiza mioyo yao tu mambo ya imani hawana
 
Na wstoto wameangalia tu mama yao akipewa kichapo????

Walahi mchepuko ungekula kichapo mpaka wenyewe ndio utoe shikamoo..

Unless kama watoto walikuwa wanamtegemea mwanaume
 

Kwahiyo ndo uniletee kwangu kabisa???? kumpangishia kwingine je?? Sio vizuri hata kidogo unamfanya mkeo kuwa mdhaifu sanaa na unamuathiri kisaikologia
 
Sidhani kama kuna mwanamke anapenda kuongezewa mwenzake hata kama hawataishi nyumba moja,ni ngumu sana,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…