Unawezaje kuvumilia hii?


Kwahiyo hela ndo kigezo cha kunyanyasa mkeo??
 
Wanawake wa kiafrika kwenye mapenzi tuna A ya upumbaaav
Ngoja nizae haraka haraka mie make miaka inaenda teh
 
Na wewe mtoa uzi...kabla hujaweka uzi wako hapa...embu jiulize kwanini..umeletewa nyumba ndogo nyumbani...

Ukishapata jibu ndio tuendelee.

Wee hujui tu yani.. Kwanza Mke Mkubwa baada ya kuona tu chattings za mume na mchepuko alishasema weeeeeeee mume ndo wa kuelewa Somo!!!!???? ndokwanza anasisitiza kuwa yule ni mke wangu naomba ujue hilo na sitaki umtukane na maneno yako yanyodo nimekwambia yule nae ni mke wangu na nampendaaa.. Mke sema sema wapi siku nyingine mume hata wiki mbili anakaa na kulala kwa chepuko badae anarudi kwake kwa mchepuko kwake kwa mchepuko.. Saiv mchepuko yupo likizo ndoivo
 

Ila roho inauma sanaa kwakweli sanaaaaa
 
how is it possible nyumba ndogo ikaletwa ndan what i knw mke wa pili ndio anaweza kuish nyumba moja na mke wa kwanza..... kama umeletewa mchepuko na wewe bado unaangalia tu naweza kua na mashaka na majukumu yako kama mke

Mi mwenyewe najiuliza sipati majibu tena ndokwanzaaa mke mkubwa anamtafutia na maembe mke mdogo hivi zi timamu huyu kweli????
 
Yamekukuta nin?sina hoja sababu dini yangu hairuhusu wake wawili.

Weee kuna ukanda mmoja hata wakristo kuoa wake wengi ishakua kawaida sana kwao... Unakuta kijana ana 30 years wake watatu nabado ujana ujana unamuona nao kabisa
 
Wanawake waliofunzwa Hao bhana!!!

Mhmmhmhmhmh ndo mpaka uvumilivu wa hivi??????? Wewe umelala ile alfajiri unasikilizia tu mumeo yupo ananginjisha mke mwenzio tena nyumba moja chumba kinachofuata??? Binafsi siwezi Nina wivu mkali mnooo kwanza nitakufa kwa kukonda
 

Nakujibu maswali yako kama ifuatavyo ;
-Kuhusu unyumba inategemea na ratiba zenu na dharura ndogondogo Japo mida mingine nature plays it's role regardless the ratiba
_asubuhi namuhudumia vizuri tu anaenda kazini na akirudi nampokea vizuri na kumwandalia vyakuandaa na housegel anahudumia watoto na kuwapikia kipindi nipo kazini na nikirud tunasaidiana nae yeye hasa anahudumia watoto mume namuhudumia mwenyeweeeeeee
- Mitandaoni naingia kama kawa nikiwa kazini nikipata Muda naingiaaaa na nikirudi pia nikiwa na Muda naingiaaaa kwani kuwa na watoto mume hakunifungi ilimradi napangilia majukumu yangu na mume kurudi kazini yeye ni Jioniii kama si usiku.
- Usiku kama kawa mambo moto moto Japo inategemea na siku nyingine mambo sio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…